Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Friji ni kwa ajili ya matumizi ya familia,
portion ya freezer ni muhimu,water dispenser sio lazima ila ni bonus. Iwe ya privacy lakini pia iwe na nafasi kubwa ndani.
 
Vipi mr. Uk ubora wake ukoje
 
@DeepPond location ya duka lako ndugu.
 
Nimesoma comments zote hamna aliegusa Tv za Samsung na LG na Sony kwa nini tunaogopa hizi kampuni kwamba hatuna hela za ku afford bei zao?
 
Okei mfn bajeti ni 500-700k
Iwe na quality nzuri ya picha iwe na uwezo wa kudumu na stressful environment like kukatika umeme, radi pia nch iuanzia 50 kwenda mbele

Sio mzoefu sana kwa hizi mambo mwaya we nishauri tu 😃
Chukua Goodvision au Blackstone, wapo vizuri sana.
 
LG na Hisense ipi ni mashine hapo....na ubora wa Kila bidhaa upoje hapo
 
Location ya duka wapi nije kuunga mkono nataka nchi 50
 
Mzee Mimi had Leo singsung ipo ofisin kwangu ni bar Ina Zaid ya miaka 9 japo Sasa taa ndiyo inazingua lakin ni mkataba Sana pata picha nimetumia asubuhi had usiku
 
Mzee Deepond nimeona kuna TV Samsung 42" inauzwa Tsh 420,000/=. Najua ni copy ila naomba uniambie ikiwa copy inazingua zaidi kwenye nini? Nimeuliza kwa sababu sijawahi nunua TV copy ila kwa wakati huu nahisi nitanunua copy
 
Hahaaa
Ni kuhamia LG kwa Mo
 
Vp kuhusu starx
 
Vp kuhusu bruhm mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…