Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

Nawaza kuna haja ya mtu kufunga solar panel tu unavuna umeme wako wa jua wa kutosha! Ukijifungia na kagenerator kadogo in case solar ikizungua kazi imeisha!!

Huu ujinga sijui wanaupata wapi? Umeme wenyewe unapatikana kwa taabu tena watupandishie bei?

Tudai tu katiba mpya kuna haja ya viongozi kuwajibisha kwa kuwatesa watanzania!!
 
Kweli tutakoma na hii PhD ya heshima ya uchumi!
 
CCM CCM CCM, ipo siku Mungu atasikia vilio vyetu. Kupandisha kwa gharama za umeme inamaana na gharama za bidhaa zitaongezeka. Uwekezaji utapungua nchi itazidi kuwa maskini.
Mungu hasikilizagi kilio Cha mjinga na mpumbavu.

Kama mmekubali kutawaliwa na watu waliowaibia kura na mkakaa kimya unatarajia Mungu akusaidie Nini.
 
si ubaki na hizo tetes na mumeo.
umbea kwenye kigodoro
 
Bongo mtu anayeishi single room anatumia token za pesa ngapi kwa mwezi🤔? Mimi natoka nchi jirani na natumia token za karibu tsh 3,800 Kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…