Safi hapo tutauza sana solarMh Januari naelewa Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Kama ingekua tunaweza kumfufua mtu alafu tumpe adhabu Kwa alioyafanya huyu Mzee Nyerere ilibidi tumfufue tumchape bakora nyingi sanaaa katuharibia sanaa nchi kuliko kuitengeneza na yeye ndio muasisi wa hawa weziHaya ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa zilizoletwa na Nyerere
Kwahiyo wafanye au wasifanye ni sawa tu 😢.Mnaambiwa muwe na shukurani, hii nchi ni mali ya ccm mnayofanyiwa nyinyi ni huruma yao tu.
Hili dude IPTL ni hatari sana!!IPTL inakwenda lumumba
Ngoja nimtafute mzee Makamba nimuulize ana maoni gani kuhusu kupanda kwa bei ya umeme.Pia kuna tetesi ya kuwa mwezi wa kwanza gharama za umeme zinapanda na kufika 800 000 kutoka 320,000
Sie kama wapangaji tu kwenye nyumba tunalipa kodi ila huwezi kumpangia mwenye nyumba matumizi ya kodi unayolipa ni pesa yake, kwani we huwa husikii rais katoa kiasi kadhaa kujenga kitu fulani? Kwahiyo jukumu letu ni kulipa kodi tu kwenye nyumba ya kupanga na sio kumpangia mwenye nyumba, kama hatutaki tuhamie Burundi au tuwe na shukurani.Kwahiyo wafanye au wasifanye ni sawa tu 😢.
Ndiyo maana hawana huruma na Kodi zetu 😢
Ndiyo maana Kuna baadhi ya watu wanasema Nchi haikuwa tayari kupata Uhuru.Sie kama wapangaji tu kwenye nyumba tunalipa kodi ila huwezi kumpangia mwenye nyumba matumizi ya kodi unayolipa ni pesa yake, kwani we huwa husikii rais katoa kiasi kadhaa kujenga kitu fulani? Kwahiyo jukumu letu ni kulipa kodi tu kwenye nyumba ya kupanga na sio kumpangia mwenye nyumba, kama hatutaki tuhamie Burundi au tuwe na shukurani.
CCM CCM CCM, ipo siku Mungu atasikia vilio vyetu. Kupandisha kwa gharama za umeme inamaana na gharama za bidhaa zitaongezeka. Uwekezaji utapungua nchi itazidi kuwa maskini.
Ndugu mtejaKuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake
My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
Ndugu mteja
Tafadhali usipotoshe wala kutoa taarifa zinazoleta tahahuriki kwa wateja wetu, taarifa sahihi zinatolewa na mamlaka husika kwa mabadiliko yeyote yatakayofanyika, tuendelee.kufurahia huduma bila hofu kuwa TANESCO ipo wazi kwa taarifa zozote
Vipi mkuu Leo mko off nini naona huku kwetu umeme bado upoNdugu mteja
Tafadhali usipotoshe wala kutoa taarifa zinazoleta tahahuriki kwa wateja wetu, taarifa sahihi zinatolewa na mamlaka husika kwa mabadiliko yeyote yatakayofanyika, tuendelee.kufurahia huduma bila hofu kuwa TANESCO ipo wazi kwa taarifa zozote
Sasa si kwa sababu ya kumsikiliza Mzee Makamba.Vipi mkuu Leo mko off nini naona huku kwetu umeme bado upo
@ TANESCOKuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january
Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa
Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa hakutakua na tarrif 4 tena
Nimedokezwa sababu ya kupandishwa ni ili kuifanya Tanesco iweze kuijendesha kwa ufanisi, kupunguza utegemezi kutoka Serikalini na pia kuweza kulipa madeni yake
My take:Zile habari za umeme siku moja kushuka zilizikwa Chato, lengo la bwawa la Nyerere lilikua ni likikamilika units zishuke zaidi ya sasa wenzetu Ethiopia bei ya unit ni Tsh 16 ambapo inaifanya Ethiopia kuwa miongoni mwa mataifa yenye umeme wa bei chee Africa na duniani
Naona Leo hawajakata kabisa kumbe tusikilize chama cha mbuziSasa si kwa sababu ya kumsikiliza Mzee Makamba.