Bei ya mafuta kuanzia Aprili 1, 2026: Petroli Dar imefikia TZS 3,820; Kagera ikigonga TZS 4,070. Dizeli ipo kati ya TZS 3,806 - 4,078

Bei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?

Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!

View attachment 3565437

=====

View attachment 3565423View attachment 3565424View attachment 3565425View attachment 3565426View attachment 3565427
Sisi wakristo tunaoashabikia U.S-Israel war,hatuwezi athirika na hizi bei,kwanza hata andiko lilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa
 
WAlisema stock ipo hay ya April kwenda may kwani imekuwaje Sasa👺🇹🇿
Stocks ipo kwa ajili ya wanaoamini mungu wa Israel tu,na wale wanaoamini U.S inaweza Fanya Kila kitu
 
Attachments

  • Screenshot_20260401-080420.jpg
    Screenshot_20260401-080420.jpg
    253.3 KB · Views: 19
IST, PREMIO F, RUMION,

cc 1490 na kushuka chini wala hawana habari, Lita 1 Kilometa 15, 🙂
Hizo gari huwa mnadanganyana sana nyingi huwa zina tembea 12 hadi 13 kmpl
 
Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days?

Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania.

Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/=

Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/=
Nauli Dar - Arusha 60,000/=

Sukari 1kg 4,500/=

Mchele 1kg 4,000/=

Bado naona Hali ya jua Kali na ukame Kuanzia April - June Sasa mikoa yenye imeanza paliz ya kwanza waombe sana.

Ila mpaka Christmas watanzania wote watakuwa wameisoma namba na watakuwa wanaongea lugha Moja.
Halafu serikali ya Tanzania ilivyo na makusudi vitu vikipandaga bei mbona sijawahi kuona vikishuka ??
 
dawa ni mpaki magari tu

ova
Hata wakipack still bidhaa nyingine zitapanda bei tu Kwa sababu uzalishaji wa hizo bidhaa na usafirishaji wake Unategemea nishati ya gesi na mafuta , so lazima ile kwetu
 
WAlisema stock ipo hay ya April kwenda may kwani imekuwaje Sasa👺🇹🇿
Kuiamini serikali ya tanzania teja hii ya huyuu mama ni sawa na kuamini kuna siku jua litakuwa mwezi
Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days?

Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania.

Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/=

Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/=
Nauli Dar - Arusha 60,000/=

Sukari 1kg 4,500/=

Mchele 1kg 4,000/=

Bado naona Hali ya jua Kali na ukame Kuanzia April - June Sasa mikoa yenye imeanza paliz ya kwanza waombe sana.

Ila mpaka Christmas watanzania wote watakuwa wameisoma namba na watakuwa wanaongea lugha Moja.
Shida iliyopo nchi hii nauli itapanda kwa kisingizio cha mafuta lakini hata mafuta yakishuka bei nauli huwa haishuki na hakuna mamlaka inayo lisimamia hilo
 
We have no Check & balance, we have balance only
 
LATRA waachie mkeka wa nauli mpya ili milio ikolee vizuri na ongezeko liendane na bei ya mafuta at least 40%!!

BTW: Serikali haina hata utashi wa kuondoa kodi na tozo ilizojaza kwenye mafuta hlf pesa zinapigwa tu hakuna hata hatua za maana zinachukuliwa!
 
Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days?

Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania.

Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/=

Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/=
Nauli Dar - Arusha 60,000/=

Sukari 1kg 4,500/=

Mchele 1kg 4,000/=

Bado naona Hali ya jua Kali na ukame Kuanzia April - June Sasa mikoa yenye imeanza paliz ya kwanza waombe sana.

Ila mpaka Christmas watanzania wote watakuwa wameisoma namba na watakuwa wanaongea lugha Moja.
Huyu mama ni kilaza kabisa!

Wafanyabishara wa mafuta wanapiga super profit sana
 
Halafu serikali ya Tanzania ilivyo na makusudi vitu vikipandaga bei mbona sijawahi kuona vikishuka ??
Hyo n nature ya biashara ndio mana ukiwa kiongozi hakikisha usifanye mistake kwenye jambo Moja ambalo litagharimu mambo yote muhimu yawe vibaya.

Hapa ndio umuhimu wa kura Yako ndio unaonekana
 
Back
Top Bottom