HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Dollar itaendelea kuwa juu ya dhahabu kama hifadhi.Dhahabu yenyewe imedrop mbaya sana
Ova
Kwenye dhahabu walionunua wamepata hasara na sasa hawajui itapanda au la
Dollar itaendelea kuwa juu ya dhahabu kama hifadhi.Dhahabu yenyewe imedrop mbaya sana
Ova
Ngoja tuoneDollar itaendelea kuwa juu ya dhahabu kama hifadhi.
Kwenye dhahabu walionunua wamepata hasara na sasa hawajui itapanda au la
Hiyo huwa bei yako wewe.Hapana bhana. Mbona gramu leo ni 386,000?
Hiyo bado ipo juu. Tena juu.
Hasara kivipi na dhahabu ilipanda toka kipindi cha mwanzo cha vita na bado inaendelea kupandaDollar itaendelea kuwa juu ya dhahabu kama hifadhi.
Kwenye dhahabu walionunua wamepata hasara na sasa hawajui itapanda au la
Zanzibar bei haijapandaHii ndiyo maana ya athari ya vita inayopiganwa mashariki ya kati.
Tulisema sana humu, ingawa hatuna uwezo kusitisha wala kuendesha vita kuna mashabiki uchwara walioshabikia vita hiyo.
Athari ya vita hii itamgusa kila mmoja bila kujali ushabiki wetu.
Na bila shaka bei itaendelea kupanda kadri vita itakavyo endelea
Itapanda ni suala la muda tu.Zanzibar bei haijapanda
Huyo mme wa Tulia ni hovyoBei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?
Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!
=====
Sidhani...Itapanda ni suala la muda tu.
Mazuzu tanganyika watawalipiaZanzibar bei haijapanda
Haya Mange KimaVI na wapumbavu wenzio mliokuwa mkishangilia Marekani .. njooni hapa sasa... WapbavuBei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?
Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!
=====
Angalia Serikali zenye watu makiniBei za mafuta zimetangazwa, wakisema imechangiwa na vita mashariki ya kati. Ile stock walisema ipo ya kutosha hadi July imeishia wapi?
Wazee wa kupiga dili washaingia mzigoni, yaani wanasahau kitu wamesema hata mwezi haujaisha - ghafla akiba imeyeyuka!
=====
Hio bei inawahusu nyie wayahudi wa bonyokwaunafurahia maumivu, una akili kweli?
Kura zenyewe wanachakachua. Hawa watendaji na walimu hawajui hata maana ya kura wao wanawaza kuwachakachulia ccm kura zetu. Yakisha chakachua yanatoka hapo yamekenua meno kama matahira yanafurahia kumkomoa fulani unauweza kudhani huyo wanayemsaidia kesho atawaletea chakula mezani.Hyo n nature ya biashara ndio mana ukiwa kiongozi hakikisha usifanye mistake kwenye jambo Moja ambalo litagharimu mambo yote muhimu yawe vibaya.
Hapa ndio umuhimu wa kura Yako ndio unaonekana
Walaaniwe Trump na Netanyahu
Sisi wakristo tunaoashabikia U.S-Israel war,hatuwezi athirika na hizi bei,kwanza hata andiko lilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa