U.S ni superpower na Israel ni Taifa la mungu,na Mungu wa Israel hashindwi,ukijumlisha hio combination unaona kabisa mlango bahari unafunguliwa mapema tuNdo wamefunga mlango bahari ?
U.S ni superpower na Israel ni Taifa la mungu,na Mungu wa Israel hashindwi,ukijumlisha hio combination unaona kabisa mlango bahari unafunguliwa mapema tuNdo wamefunga mlango bahari ?
Marekani ndo wamefunga mlango bahari?Haya Mange KimaVI na wapumbavu wenzio mliokuwa mkishangilia Marekani .. njooni hapa sasa... Wapbavu
Kwani wao ndo wamefunga mlango bahari??U.S ni superpower na Israel ni Taifa la mungu,na Mungu wa Israel hashindwi,ukijumlisha hio combination unaona kabisa mlango bahari unafunguliwa mapema tu
Sasahv watajua kuwa ule ni ujinga na uhauni walikuwa wanafanyaKura zenyewe wanachakachua. Hawa watendaji na walimu hawajui hata maana ya kura wao wanawaza kuwachakachulia ccm kura zetu. Yakisha chakachua yanatoka hapo yamekenua meno kama matahira yanafurahia kumkomoa fulani unauweza kudhani huyo wanayemsaidia kesho atawaletea chakula mezani.
Wamewakatisha tamaa wananchi kuchagua viongozi wa maana kutokana ujinga wao. Yaani tuna kundi kubwa la watumishi wa umma ambao hawajui uhusiano wa kura na maisha ya kila siku.