connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
Tatizo pesa yenyewe ya FT hatunaNilienda Engen kupiga full tank usiku huu walau kupunguza maumivu😀
Tatizo pesa yenyewe ya FT hatuna
Mzee sio kwamba price it drop kidogo, Mana Yule Mwenezi alishauri kuwa Chama kimeimbia Serikali wapunguze levy na taxesNilienda Engen kupiga full tank usiku huu walau kupunguza maumivu😀
Tanzania?Mzee sio kwamba price it drop kidogo, Mana Yule Mwenezi alishauri kuwa Chama kimeimbia Serikali wapunguze levy na taxes
Ngoja tuone ila sidhani kama yatapanda mana kelele zitakuwa nyingi sanaTanzania?
Wakiwa smart wapunguze kodi. Kutoka 1,200 hadi 400/= hivi kwa litre.Ngoja tuone ila sidhani kama yatapanda mana kelele zitakuwa nyingi sana
Pipa la mafuta limeshafika 102 most highest in history hata Lissu angepandisha iko out of controlMzee sio kwamba price it drop kidogo, Mana Yule Mwenezi alishauri kuwa Chama kimeimbia Serikali wapunguze levy na taxes
Tuanze kufanyia kazi majumbani kama kipindi cha Covid-19Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.