Safi sana trump.....
Wanyooshe wote walikuwa wanakushangilia huku wakiishi kwa shemeji zao....
Ndio hapo shemeji atakapo kurudisha kijijini kubana matumizi maana unakula mlo wa watu watatu, huku dada yako anakutetea kila siku kuwa ni mtoto bado unakua.....