MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hawataweza kusustainWenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
Hawataweza kusustainWenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
Na mlaji mwananchi hana mtetezi anakamuliwaMwananchi anakamuliwa mwanzo mwisho.
Pakini magari yenu
Tumieni usafiri wa umma,tembeeni kwa miguu
Tumieni baiskeli tu
Ova
Mfumuko hutokee mara ngapi,mfumuko lazima hutoke kpnzTatizo sio kupaki magari pekee bali kutatokea mfumuko wa Kila kitu kupanda bei ,vyakula Hadi ada