wametoa mapema usiku huuWakuu EWURA bado hawajatoa mkeka tu?
Nitag mkuu 🙏Wakuu EWURA bado hawajatoa mkeka tu?
Nitag mkuu 🙏
Walivyo majambazi sidhaniMzee sio kwamba price it drop kidogo, Mana Yule Mwenezi alishauri kuwa Chama kimeimbia Serikali wapunguze levy na taxes
Hawa jamaa hawana aibu kabisa, Mbona Katibu wa itikadi na Uenezi Kenan Kihongosi walisema wameshauri serikali ipunguze levies and taxes kwenye Imported petroleum products ili isaidie kupunguza Bei ya izo products ili kupunguza ukali wa Maisha Hawa jamaa hawaaminiki kabisa.Walivyo majambazi sidhani
Kwani yale ya Uganda yanapitia Iran nayo au?Pipa la mafuta limeshafika 102 most highest in history hata Lissu angepandisha iko out of control
Mkuu nawewe na akili zako timamu unamzingatia Kenan Kihongosi?Hawa jamaa hawana aibu kabisa, Mbona Katibu wa itikadi na Uenezi Kenan Kihongosi walisema wameshauri serikali ipunguze levies and taxes kwenye Imported petroleum products ili isaidie kupunguza Bei ya izo products ili kupunguza ukali wa Maisha Hawa jamaa hawaaminiki kabisa.
Ngoja nitafute ile ndinga yako ya cc1,300Leo ndio May 05.
Bado unaishi kwenye dhana ya kwamba wanaoathirika na bei ya mafuta ni wenye magari?Pakini magari yenu
Tumieni usafiri wa umma,tembeeni kwa miguu
Tumieni baiskeli tu
Ova
Uongo na uchawa ni ngumu kuvitenganisha? 2008 mafuta yalifika hadi $186 kwa pipa. Mwezi uliopita mafuta yalifika hadi $119 kwa pipa. Hii yako ya $102 kuwa ndio the most high umeitoa wapi?Pipa la mafuta limeshafika 102 most highest in history hata Lissu angepandisha iko out of control