Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

Gari yako inakula lita ngapi?

Chukua hizo lita zidisha na 29. Hilo ndilo punguzo lako!

Karibu ulambe asali mkuu kama ukoo wa akina Makamba!
Kama una Toyota starlet, full tank ni lita 45, kwa hiyo utapata nafuu ya Shs1,305 lakini utalipia TSh 141,660. Yaani unasevu asilimia 0.731%

Tatizo la bei za mafuta ni la dunia nzima, ila serikali yetu imelihandle vibaya sana kiasi kuonekana kama viongozi wako arrogant, hawajali. majibu yaliyokuwa yakitolewa na waziri wa nishati na baadaye kurudiwa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania yalikuwa ya hovyo sana katika muda ambao raia wanategemea kufarijiwa.
 
Serikali ikubali tukaze mikanda

Isimamishe ujenzi wote wa kuendeleza Dodoma

Iuze mali zingine

Ipunguze matumizi,kuanzia misafara yao

Posho zikatwe

Ajira zisitishwe kwa muda

Wapunguze wafanyakazi
 
Siku zote Nchi yetu watu wenye power ya ki-dictate chochote katika Nchi.
1.Rais
2.Waziri Mkuu

Sasa ukiangalia Backgrounds za hawa viongozi 2,SAMIA na MAJALIWA-haya ni matatizo makubwa kwao-maana hata knowledge ya haya mambo ya kiuchumi ni misamiati kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…