Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
usaniHii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usaniHii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Usiniulize mimi,uliza serikaliSasa ukipunguza 200 au 250 kwenye 3,258 utakuwa umesaidia nini, ikiwa mwanzo bei zilikuwa kwenye 1800......hii inakuwa sawa na kucheza sarakasi...
Usiniulize mimi,uliza serikaliSasa ukipunguza 200 au 250 kwenye 3,258 utakuwa umesaidia nini, ikiwa mwanzo bei zilikuwa kwenye 1800......hii inakuwa sawa na kucheza sarakasi...
Mweeeeeee maisha yanaenda Kasi sana aiseeeeeNgoja machawa ya mama kina Matola waje
Ndugu yangu acha uongo.Wewe ni WA wapi Mzee? Hizo tozo zilishushwa kipindi kile mafuta yaanza kupanda bei..
Unapotosha kwa maslahi ya nani? Ukipotosha wewe unanufaikaje?
Hizo bei ni za zamani walipunguza hizo tozo mafuta yalipoanza kupanda lakini hazikusaidia kitu..
Punguzo la Sasa litakuwa Kati ya sh.200-250 Kwa ruzuku ya mwezi mmja.
Hivi hawa watu wapo serious kweli na hili swala la mafuta?? kwamba kikao na Rais nso kimepitisha hilo swala?? Siamini hata!!
Kuwa Uyaone
Swali zuri sana; ila ni kweli kuwa sehemu nyingi sana za dunian zinakaribiana na tatizo la bei ya mafuta ispokuwa zile zenye kuchimba mafuta tu. Kuna serikali nyingine zinaweka ruzuku kubwa kwenye bei ya mafuta kuwanusuru raia wake, inawezekana Zanzibar nayo imeweka ruzuku au inapewa msaada wa mafuta ya bure kutoka kwa wachimabji.Lita ya mafuta Zanzibar ni 2,600 sasa unaposema ni tatizo la dunia sijui Zanzibar iko sayari gani.
[emoji28][emoji28][emoji28]Binafsi nikimwona February na Chemba bado wapo barazani naona ni Bora niende Ukraine nikatoe msaada
Swali zuri sana; ila ni kweli kuwa sehemu nyingi sana za dunian zinakaribiana na tatizo la bei ya mafuta ispokuwa zile zenye kuchimba mafuta tu. Kuna serikali nyingine zinaweka ruzuku kubwa kwenye bei ya mafuta kuwanusuru raia wake, inawezekana Zanzibar nayo imeweka ruzuku au inapewa msaada wa mafuta ya bure kutoka kwa wachimabji.
Hii Taarifa sio sahii kwa kigezo kuwa, Mama ametoa shs Billion 100 kwa mwezi June pekee; na hiyo taarifa inasema Bilioni 102 kwa MWAKA mzima hivyo ni feki (FAKE NEWS!)Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Unazani hiyo billioni 100 itapunguza Nini?Hii Taarifa sio sahii kwa kigezo kuwa, Mama ametoa shs Billion 100 kwa mwezi June pekee; na hiyo taarifa inasema Bilioni 102 kwa MWAKA mzima hivyo ni feki (FAKE NEWS!)