RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Body language......Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Body language......Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
'Gari yako inakula lita ngapi?
Chukua hizo lita zidisha na 29. Hilo ndilo punguzo lako!
Karibu ulambe asali mkuu kama ukoo wa akina Makamba!
Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Sisi tumekubali, mama yuko kazini.Serikali sikivu kabisaaa.
Mkuu ndio wewe ulikuwa unawatetea hawa kijani watakuja na jema!?Walitoa ruzuku ya bilioni 100, wao hawatakusanya bilioni 102 kwa mwaka, hapo kuna bilioni 2 za ziada.
Ukisema waongeze kiasi maana yake wakatafute pesa nyingine mahala pengine kwa ajili ya kuongeza ruzuku ya bei ya mafuta.
Hahaha....mtu analalamika kuhusu mafuta,huyo huyo kesho anaingia kwenye kituo cha mafuta anawekaNikisema sisi watanzania ni wapumbavu huwa namaanisha, huu upuuzi hauji bure ni kwa sababu viongozi washaona sisi ni wapumbavu hatuwezi fanya lolote, ukiwa mpumbavu usitegemee kuambiwa la maana.
Na bado akikaa pembeni anakwambia mama anaupiga mwingi.Hahaha....mtu analalamika kuhusu mafuta,huyo huyo kesho anaingia kwenye kituo cha mafuta anaweka
Kwenye chombo chake cha moto!
Anaendelea kulalamika
Ova
kwa hiyo kwa akili ya kawaida kabisa unakubali hilo tangazo? hapo ndio watu huanza kufeli kwa kusoma kila kitu juu juu!!!!Unazani hiyo billioni 100 itapunguza Nini?
Fanya 100,000,000,000 gawanya kwa lita wastani wa matumizi ya Mafuta kwa mwezi utapata mlemle.
Kama huyui kwamba Rais kasema ataweka Billiona 100 June basi achana nami. Kajielimishe kwanza.kwa hiyo kwa akili ya kawaida kabisa unakubali hilo tangazo? hapo ndio watu huanza kufeli kwa kusoma kila kitu juu juu!!!!
- Tangu lini waziri akatangaza bei ya mafuta kwa lita wakati taasisis husika ipo (EWURA)?
- Ni wapi Raisi alisema Bil 100 ni punguzo la mafuta kwa mwaka?
Bora waache tu kama ilivyo sasaHii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
😂😂😂😂😂Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Nami naonga hoja, hasa kwenye suala la ujenzi wa mji wa Dodoma pamoja na ajira hizi zinafaa kusimama adi 14/10/2024Serikali ikubali tukaze mikanda
Isimamishe ujenzi wote wa kuendeleza Dodoma
Iuze mali zingine
Ipunguze matumizi,kuanzia misafara yao
Posho zikatwe
Ajira zisitishwe kwa muda
Wapunguze wafanyakazi