The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wewe ni WA wapi Mzee? Hizo tozo zilishushwa kipindi kile mafuta yaanza kupanda bei..Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Unapotosha kwa maslahi ya nani? Ukipotosha wewe unanufaikaje?Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Hizo bei ni za zamani walipunguza hizo tozo mafuta yalipoanza kupanda lakini hazikusaidia kitu..
Punguzo la Sasa litakuwa Kati ya sh.200-250 Kwa ruzuku ya mwezi mmja.