Arrogance ya Mwigulu Nchemba na January kwa Watanzania itashughulikiwa na Mwenyezi Mungu tu. Kiburi cha wawili Hawa kimesabasha Wananchi kumchukia Rais Wetu.Binafsi nikimwona February na Chemba bado wapo barazani naona ni Bora niende Ukraine nikatoe msaada
Na mavieite yawekwe kwa park !! L/cruiser hard top zinatosha !!Serikali ikubali tukaze mikanda
Isimamishe ujenzi wote wa kuendeleza Dodoma
Iuze mali zingine
Ipunguze matumizi,kuanzia misafara yao
Posho zikatwe
Ajira zisitishwe kwa muda
Wapunguze wafanyakazi
Acha kupotosha kama hujui kusoma ondoka humu jamvini syo kijiwe cha kawaha hapa.Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Ovyo kabisa kisa mafuta kila kitu kiwekwe rehani...?Serikali ikubali tukaze mikanda
Isimamishe ujenzi wote wa kuendeleza Dodoma
Iuze mali zingine
Ipunguze matumizi,kuanzia misafara yao
Posho zikatwe
Ajira zisitishwe kwa muda
Wapunguze wafanyakazi
Hii wizara sahivi haina mwenyeweHii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
Wote ni walimuSiku zote Nchi yetu watu wenye power ya ki-dictate chochote katika Nchi.
1.Rais
2.Waziri Mkuu
Sasa ukiangalia Backgrounds za hawa viongozi 2,SAMIA na MAJALIWA-haya ni matatizo makubwa kwao-maana hata knowledge ya haya mambo ya kiuchumi ni misamiati kwao.
Umefikiria sana na kuja na tafsiri yako ya namna ulivyofikiri...Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
View attachment 2220833
[emoji23][emoji23]Ndo maana roho ilisita kununua gari.[emoji276]
Subiri EWURA watoe bei ya mafuta kwa lita achana na hao wapotoshajiπππππ
Mkuu 102 bilion ni ile aliyofanya mwezi okt 2021, alikua anaelezea jinsi ambavyo waliondoa tozo ambazo hazikuweza kusaidia ndo akaainisha kiasi walichopunguza kwa kila aina ya mafuta.Umefikiria sana na kuja na tafsiri yako ya namna ulivyofikiri...
Lakini mimi nafikiri tofauti na wewe, kwamba;
1. Hiyo jumla ya tozo ya Tshs bilioni 102 zinazoondolewa na serikali ni sehemu ya nafuu inayotengenezwa na serikali kwa wananchi...
2. Ukijumuisha na subsidize/ruzuku ya Tshs bilion 100 inayoanza kutolewa na serikali kama walivyosema kuanzia 1 Juni, 2022, maana yake serikali itabeba gharama ya wananchi wake ya jumla ya Tshs bilioni 202..
3. Mpaka hapo, kama mtazamo wangu uko sahihi, basi ukikokotoa bei mpya, inawezekana ikapungua kwa kati ya Tshs 350 na 600 kwa lita...!!
## Hii ndiyo tafsiri yangu mimi...
Acheni kukariri someni ndo mjadili.Makamba kama waziri alitoa sh 100 akatukanwa sana na sukuma Gang, sasa imetolewa sh 29. Sijui itakuwaje.