stan john Member Joined Feb 17, 2022 Posts 86 Reaction score 92 Jun 13, 2025 #1 Habari, Baada ya Israel kuishambulia iran Leo usiku ,Bei ya mafuta ya kula itapanda au itashuka ????
C Chieflumanyika Senior Member Joined Nov 27, 2015 Posts 130 Reaction score 142 Jun 13, 2025 #2 Mwigulu sii amesema Jana watapunguza vat kwenye mafuta yanayozalishwa ndani ..?? Sasa Vita ya Irani inahusiana vipi na Mambo yetu
Mwigulu sii amesema Jana watapunguza vat kwenye mafuta yanayozalishwa ndani ..?? Sasa Vita ya Irani inahusiana vipi na Mambo yetu
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Jun 13, 2025 #3 Itapanda iende wapi