TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Unauhakika na kuteseka huko!? Brics inakuja.Mwamba wa Dunia USA wakisikia tutapigwa ban IMF, WORLD BANK, na kuzuiwa kuuza chochote duniani
Waulize ma Ayattollah wa Iran nchi yao inavyoteseka
Ndiyo kinachofanyikaUkute aNanunua hukohuko then wanakuja kutuxia bei ya dubiani.
By the way USA mwenyewe ananunya gas kinyakinya huko then znawauxia Europe wajinga kwa bei ya soko.
... ni rahisi zana kwao; they will just disconnect us from SWIFT; that simple. Hakuna kununua wala kuuza.Mwamba wa Dunia USA wakisikia tutapigwa ban IMF, WORLD BANK, na kuzuiwa kuuza chochote duniani
Waulize ma Ayattollah wa Iran nchi yao inavyoteseka
Yap, mara zote ni vigumu kukubali ukweli na hata ukiukubali bado utaufanya kwa njia nyingine kuepuka kuonekana unafanya kutoka kwa aliyesema ukweli.Nakumbuka Mzalendo #1 aliwahi kusema tutumie fulsa ya kuuza chakula kwenye nchi zilizokuwa na njaa watu wakamjia juu na kusema huwezi kuombea mwenzio apate njaa ili wewe unufaike.
Siku zote ukisikia bei ya mafuta kwenye soko la dunia hua wana maana ya crude oil na sio petrol, diesel nk. Well, OPEC kwa ujumla wake leo wanauza dola 130 hiyo hiyo crude oilHapo unazungumzia crude Oil. Sasa sisi tukinunua hiyo crude oil tutaiweka wapi. Hatuna refinery wala nini. Sisi tupambane na petroli zetu tu
Kusimika mitambo ya kuchuja inagharama kiasi gani? Au kutafuta mwekezaji alete mzigo wa refinery na ifanyike hapa nchiniMleta mada unaongelea Crude oil "Mafuta ambayo hayajasafishwa" Hao India na China wanazo Refinery za kusafisha hiyo Crude oil,
Sasa Bongo wakinunua hizo Crude oil watasafishia wapi? ni lazima uwe na Refinery.
Makamba hana akili ya kufufua refinery, bali ana akili ya kuiba tu kura.Tunaweza kununua kupitia Marafiki zetu China na India, hakuna vikwazo
Wao wanayo refinery, na watatupa unafuu
Makamba afufue TIPER , refinery yetu
Ndio maana yake, lakini pia uwezekano wa petroli kununuliwa kwa bei ya urusi na kuuzwa kwa bei ya OPEC nao ni mkubwa sana tu !! Wanyonge wafunge mikanda vizuri !!! Kazi imeanza !!baba yako Us atakuchapa bakora
Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa covid 19, yapo makampuni na nchi zilizopiga pesa ile mbaya wakati wengine wakiwa wameji lockdown na zingependa mlipuko huu wa covid 19 uendelee kudumu!
Hii vita ya Urusi na Ukraine, mara tu ilipoanza nchi kama za Saudi Arabia na zingine zote za OPEC ziliona ni fursa, na zikaanza kupandisha bei ya mafuta yao. Nchi za Ulaya na Amerika walipoamua kususa mafuta ya Russia, nchi za OPEC na Saudia zikachangamkia fursa hiyo kwa kasi zaidi ya kuendelea kupandisha bei ya mafuta yao na hadi sasa yamefikia zaidi ya $ 120 kwa pipa. Kabla ya vita hii pipa lilikuwa linauzwa si zaidi ya $ 70. Nchi zingependa vita hii iendelee kudumu!
Russia ni mzalishaji mkubwa duniani wa mafuta haya ya petroli/ diseal na na gesi kwa kiwango cha theluthi moja ya mafuta yote duniani. Baada ya vita hii na nchi za Ulaya na Amerika kuanza kususia mafuta yake, Urusi imeteremsha sana bei ya mafuta yake hadi sasa kufikia $ 30 kwa pipa! Uchina na India wamechangamkia fursa hii, wananunua mafuta haya kutoka Russia na wangelipenda vita hii iendelee kudumu! Tukumbuke kuwa population ya China na India ni zaidi ya watu billion 3, yaani theluthi moja ya population ya dunia hii. Wao hawafungamani na upande wo wote kama sisi.
Sasa kwa nini na sisi tusichangamkie fursa hii ( na kupenda iendelee kudumu) kwa kununua mafuta haya toka Russia? Kuna tatizo gani tukifanya hivyo? Tunaogopa nini? Au watalaamu wety wa uchumi mnasemaje?
Unsold Oil Forces Russian Operator To Cap Pipeline Flows | OilPrice.com
Transneft, the Russian oil pipeline operator, has informed local oil companies that it would be capping the intake of yet-to-be-sold crude because of full storage as buyers in the West shun Russian oiloilprice.com
Bado kidogo tu Putin anaenda kuwa LORD OF THE WORLD !! by VANGA BWANGA !!... ni rahisi zana kwao; they will just disconnect us from SWIFT; that simple. Hakuna kununua wala kuuza.
Mkuu umeandika niniUkute aNanunua hukohuko then wanakuja kutuxia bei ya dubiani.
By the way USA mwenyewe ananunya gas kinyakinya huko then znawauxia Europe wajinga kwa bei ya soko.
Hata enzi za Nyerere na TIPER refinery bado tulikuwa tunaagiza mafuta na bado kulikuwa na uhaba wa mafuta. TIPER ilikuwa ni refinery ndogo.Hivi ilikuwaje Nyerere kwa miaka ile aliweza kuwa na uchumi wa viwanda hadi kuwa na refinery pale TIPER ambapo tulikuwa na uwezo wa kuagiza crude oil na kusafisha wenyewe, hivi kuna watu ambao mnahisi kama mimi kwamba kuna kitu hakiko sawa kwenye namna ambayo nchi yetu inatafsiri hatua za kimaendeleo (development realization)......
Hata hivyo wananunua Rusia lakini wanauza bei mara 10 ya manunuziUkisikiliza viongozi wetu wanavyoongea kwenye vyombo vya habari, utajua kabisa kwamba hapa hatuna viongozi.. kuwaambia wachangamkie fursa ya mafuta ya Russia ni kuwatwika zigo wasiloweza
Sahivi upigaji upo juu snHata enzi za Nyerere na TIPER refinery bado tulikuwa tunaagiza mafuta na bado kulikuwa na uhaba wa mafuta. TIPER ilikuwa ni refinery ndogo.
Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa covid 19, yapo makampuni na nchi zilizopiga pesa ile mbaya wakati wengine wakiwa wameji lockdown na zingependa mlipuko huu wa covid 19 uendelee kudumu!
Hii vita ya Urusi na Ukraine, mara tu ilipoanza nchi kama za Saudi Arabia na zingine zote za OPEC ziliona ni fursa, na zikaanza kupandisha bei ya mafuta yao. Nchi za Ulaya na Amerika walipoamua kususa mafuta ya Russia, nchi za OPEC na Saudia zikachangamkia fursa hiyo kwa kasi zaidi ya kuendelea kupandisha bei ya mafuta yao na hadi sasa yamefikia zaidi ya $ 120 kwa pipa. Kabla ya vita hii pipa lilikuwa linauzwa si zaidi ya $ 70. Nchi zingependa vita hii iendelee kudumu!
Russia ni mzalishaji mkubwa duniani wa mafuta haya ya petroli/ diseal na na gesi kwa kiwango cha theluthi moja ya mafuta yote duniani. Baada ya vita hii na nchi za Ulaya na Amerika kuanza kususia mafuta yake, Urusi imeteremsha sana bei ya mafuta yake hadi sasa kufikia $ 30 kwa pipa! Uchina na India wamechangamkia fursa hii, wananunua mafuta haya kutoka Russia na wangelipenda vita hii iendelee kudumu! Tukumbuke kuwa population ya China na India ni zaidi ya watu billion 3, yaani theluthi moja ya population ya dunia hii. Wao hawafungamani na upande wo wote kama sisi.
Sasa kwa nini na sisi tusichangamkie fursa hii ( na kupenda iendelee kudumu) kwa kununua mafuta haya toka Russia? Kuna tatizo gani tukifanya hivyo? Tunaogopa nini? Au watalaamu wety wa uchumi mnasemaje?
Unsold Oil Forces Russian Operator To Cap Pipeline Flows | OilPrice.com
Transneft, the Russian oil pipeline operator, has informed local oil companies that it would be capping the intake of yet-to-be-sold crude because of full storage as buyers in the West shun Russian oiloilprice.com
Ndo maana nikasema kama tulikuwa na refinery ndogo enzi za mwalimu, kwenye kutathmini hatua za kimaendeleo leo hii tulitakiwa tuwe na refinery kubwa ambayo ingeweza kusafisha hadi mafuta ya nchi jirani......Hata enzi za Nyerere na TIPER refinery bado tulikuwa tunaagiza mafuta na bado kulikuwa na uhaba wa mafuta. TIPER ilikuwa ni refinery ndogo.