Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

Ok
 
Ila naonda na dada Samia amechangia kupaa kwa bei.
Mama Samia amechangiaje? Uandhani hata akiondoa tozo ya sh 100 mdiyo bei itakuwa inashuka? Sisi siyo wazalishaji wa mafuta; bei ikipanda hatuna ujanja labda kama unataka tuondoe kodi zote. Tatizo la kupaa kwa bei ya mafuta siyo Tz pekee
 
Kama unafikiri kichwani mwako kwamba serikali ina uwezo wa kufanya tupate mafuta kwa bei rahisi kwa hali ya sasa duniani jihesabu uko kwenye kundi la wapumbavu wa nchi hii.
 
Ikiwa sh 100 ilipigiw bajeti tayari, hii 200 ya sasa ilikuwa kwenye bajeti gani? Na hii bei mpya ya kila mwezi, ni utaratibu wa dunia nzima?
 
TZ ndio nchi pekee Afirca Mashariki ambapo bei ya mafuta ni rahisi kuliko nyingine unachosema hukijui
Kenya kwa sasa sio kwamba tu ni ghali bali kuna uhaba wa kutisha
Kwa East Africa ni congo ndio wana bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…