Hivi tunanunuaje mafuta kwa wahindi wakati wao wenyewe ni wanunuaji toka kwa wengine? Hapo sijaelewa hata kidogo, mhindi ananunua kwa mmarekani, iweje tununue kwake? Au ndio shamba la mwendawazimu tushakuwa?View attachment 2177279Napata ugumu kuelewa mafuta yanakuaje juu wakati hatuagizi urusi wala ulaya? India ananunua in cheap price sahizi direct from Russia tofauti na ilivyokuwa awali kipindi ananunulia Marekani. Alternatively tunanunua wese kwa warabu.
Whats up yani sielewi tunaumizwa sababu gani?
Hivi ndio vitu ambavyo hata hayati alikuwa akijaribu ku reason haoni sababu ya kuendelea kumuacha muhusika kwenye kitengo. Anampiga chini fastaHivi tunanunuaje mafuta kwa wahindi wakati wao wenyewe ni wanunuaji toka kwa wengine? Hapo sijaelewa hata kidogo, mhindi ananunua kwa mmarekani, iweje tununue kwake? Au ndio shamba la mwendawazimu tushakuwa?
Kwamba 300 ni ndogo, upo serious kweli au kuna vielementi vya ushamba na kutokuelewa?
Aisee upendo wa Magufuli mtaani umeongezeka sana na hapa wanakumbuka mengiItoshe kusema tu kuwa serikali inakwama pakubwa kwenye mambo ya msingi.
Ili kuficha aibu yao wanamkandia Magufuli.
They have totally failed to deliver any tangiable results.
Kenya,zambia ,Rwanda serikali imetoa ruzuku kwenye sekta ya nishati ila huku ndiyo kwanza Kodi inaongezwaNafikiri Mama hastahili lawama ktk hili.. its a global situation
Apunguze kodi ya mafuta, mafuta nayo yatashukaKuna mambo mengine huwa yapo nje ya uwezo wa mtu, ebu toa ushauri, mama afanye nini? 🤔
Nilipo bei ya Lita ni 3,021/=Wenye matukutuku waamue moja, kupaki na kupiga mihuri au kuendelea kulipa 2,861 kwa Lita moja.
Too much!!
Hata kama ingekuwa ni sh 50 bado ni kubwa sana, kila lita inaongezeka hapo 300 sio mchezo, bado nauli zitapanda na bidhaa nazo zitapanda.
Serikali ya ccm ni sikivu sana. Mambo yatakua mazuri tuUmeme nao umekata maeneo ya Goba huku...
Zamani viongozi walikuwa ni wakulima na wafanyakazi, sasa kuanzia ikulu hadi mtaa ni wafanyabishara. Rais, mawaziri, wabunge nk wote ni wafanyabishara. Nani atatetea maslahi ya watu wa kawaida? Kunahitajika mapinduzi vinginevyo tunaangamiaWakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa.
...
hiyo ni vita moja tu sijui itakuaje vita kati wa wakikuyu na waluo itakapoanza mwezi August
Mama anaupiga mwingi mno[emoji23] twendeni na mama hadi 2040 kabisa
Wakati wa kumilik gari ulikua badoSoon napaki ki mkweche changu.
TZ ndio nchi pekee Afirca Mashariki ambapo bei ya mafuta ni rahisi kuliko nyingine unachosema hukijui
Kenya kwa sasa sio kwamba tu ni ghali bali kuna uhaba wa kutisha
Watu hawakosi cha kusema ili mradi tu wamlaumu mama.Mama Samia amechangiaje? Uandhani hata akiondoa tozo ya sh 100 mdiyo bei itakuwa inashuka? Sisi siyo wazalishaji wa mafuta; bei ikipanda hatuna ujanja labda kama unataka tuondoe kodi zote. Tatizo la kupaa kwa bei ya mafuta siyo Tz pekee
Doho tabhu, tunapanda nayo tu.Nakaziaaaa
Safi sanaaaa
Wakiona vp wapaki vyombo vya moto tu
Ova