Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Wapi maharage ni chini ya 2800
Bei ya Jana tu katk soko la mapinduzi jijin DSM Bei ya mazao yameanza kuporomoka had mchele HV Sasa Ni 2800 na maharage nayo hyo

Mkuu sifagilii hi serekali hii ila nasema ninacho ona na kusikiaa siyo sawa kudanganya umma kuwa Bei ya mahareg imegota 4200 haijawai tokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya watakua na sababu zao tu zakuandamana haya mambo ya Bei ni kisingizio tu. Mfuko wa Bei ni janga la Dunia kwa sasa.
 

Uongo haulipi ni unafiki mkubwa
 
Kwa alipofikia Raila angeandamana kwa lolote hata maharage yangeuzwa tsh 1000, kwa hiyo siyo swala la hali ngumu ni swala la mwanasiasa anayeitisha maandamano anakuwa na sababu zake.
Inaweza isiwe bei ya maharage ila ikawa demokrasia etc
 
Kweli tulipofikia ni pabaya, yaani tunaanza kugombania bei ya ndondo?
 
Inafanyika kampeni kubwa sana ya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa awamu ya sita imefanya miujiza. Magazeti karibu yote, radio, tv nk wanaimba mapambio. Kiuhalisia hali ya maisha imekuwa mbaya sana kipindi hiki sababu kubwa ni kuongezeka kwa kasi ya ufisadi na mafisadi papa kuwa sehemu ya utawala wa awamu ya sita
 
Hamna kitu kinanikera et kumpongeza mtu kwa kazi aliyoitaka mwenyewe kwa nguvu zote na bado asifanye yaliyotarajiwa alafu mkeshe mkisifia kisa ni utamaduni.... bladenfaka...
Hizi mamb zilianza kushamir awamu ya tano, kias kwamb ilifikia ukisifia san na unapewa zawad ya uongoz!! Mamb za hovyo kbs!!
 
Hakuna bei flat Kwa nchi nzima.

Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Nilitaka kumuambia hivyo hivyo. Maharage bei ya leo unapata mpaka kwa sh. 2500. quality imezingatiwa.

Kwanza walioandamana Kenya ni wafuasi wa chama fulani, sio wakenya wote… hapo kuna siasa as kule asali haitolewi hovyo.
 
Shetani wetu wa Pekee yetu
 
Nanyie muandamane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…