dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Bei ya Jana tu katk soko la mapinduzi jijin DSM Bei ya mazao yameanza kuporomoka had mchele HV Sasa Ni 2800 na maharage nayo hyoWapi maharage ni chini ya 2800
Mkuu sifagilii hi serekali hii ila nasema ninacho ona na kusikiaa siyo sawa kudanganya umma kuwa Bei ya mahareg imegota 4200 haijawai tokea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app