Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Wapi maharage ni chini ya 2800
Bei ya Jana tu katk soko la mapinduzi jijin DSM Bei ya mazao yameanza kuporomoka had mchele HV Sasa Ni 2800 na maharage nayo hyo

Mkuu sifagilii hi serekali hii ila nasema ninacho ona na kusikiaa siyo sawa kudanganya umma kuwa Bei ya mahareg imegota 4200 haijawai tokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya watakua na sababu zao tu zakuandamana haya mambo ya Bei ni kisingizio tu. Mfuko wa Bei ni janga la Dunia kwa sasa.
 
Bei ya Jana tu katk soko la mapinduzi jijin DSM Bei ya mazao yameanza kuporomoka had mchele HV Sasa Ni 2800 na maharage nayo hyo

Mkuu sifagilii hi serekali hii ila nasema ninacho ona na kusikiaa siyo sawa kudanganya umma kuwa Bei ya mahareg imegota 4200 haijawai tokea

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Uongo haulipi ni unafiki mkubwa
 
Kwa alipofikia Raila angeandamana kwa lolote hata maharage yangeuzwa tsh 1000, kwa hiyo siyo swala la hali ngumu ni swala la mwanasiasa anayeitisha maandamano anakuwa na sababu zake.
Inaweza isiwe bei ya maharage ila ikawa demokrasia etc
 
Kweli tulipofikia ni pabaya, yaani tunaanza kugombania bei ya ndondo?
 
Hakuna bei flat Kwa nchi nzima.

Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Kwa mfano wapi?
Mbeya kwenyewe, maharage mabichi ndonya ni elfu 2,000.

Yakifika Daslam, huko kwenu, sijui wanawauzia Shilingi ngapi
Screenshot_20230322-134703.png
Screenshot_20230322-134459.png
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, Nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma, Achilia mbali maji, huduma za afya,elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k

Lakini cha kushangaza watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele!
Inafanyika kampeni kubwa sana ya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa awamu ya sita imefanya miujiza. Magazeti karibu yote, radio, tv nk wanaimba mapambio. Kiuhalisia hali ya maisha imekuwa mbaya sana kipindi hiki sababu kubwa ni kuongezeka kwa kasi ya ufisadi na mafisadi papa kuwa sehemu ya utawala wa awamu ya sita
 
Hamna kitu kinanikera et kumpongeza mtu kwa kazi aliyoitaka mwenyewe kwa nguvu zote na bado asifanye yaliyotarajiwa alafu mkeshe mkisifia kisa ni utamaduni.... bladenfaka...
Hizi mamb zilianza kushamir awamu ya tano, kias kwamb ilifikia ukisifia san na unapewa zawad ya uongoz!! Mamb za hovyo kbs!!
 
Hakuna bei flat Kwa nchi nzima.

Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Nilitaka kumuambia hivyo hivyo. Maharage bei ya leo unapata mpaka kwa sh. 2500. quality imezingatiwa.

Kwanza walioandamana Kenya ni wafuasi wa chama fulani, sio wakenya wote… hapo kuna siasa as kule asali haitolewi hovyo.
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, Nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma, Achilia mbali maji, huduma za afya,elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k

Lakini cha kushangaza watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele!
NOTE: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme,maji n.k
Shetani wetu wa Pekee yetu
 
Watanzania wamelogwa na Nyerere,then mwingi,Mkapa,then Kikwete,Makufuli, na Samia under CCM from 1961 bado structure ya ukoloni ni ileile Unategemea nini kila kitu Rais Rais tunataka katiba ambayo tutamchagua mkuu wa wilaya,mkurugenzi,mwalimu mkuu,Jaji mkuu na viongozi wengine hatutaki mfumo ambao Rais anatuletea shoga kuwa mkuu wa wilaya hatutakiiiiiiii
Nanyie muandamane
 
Back
Top Bottom