Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Wale jamaa ni vichwa, angalia tu professor P Lumumba anavyoongea kwa kujiamini! Angalia walivyotumia bongo mpaka kuondoa KANU madarakani. Wasomi wa Tz vipi! Labda tuangalie huyu wakili msomi anataka kusema nini!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom