Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Kwa kahama acha uongo ni 3500
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nadhani umeona nguvu ya kiongozi na nn maana ya kusimama mstari wa mbele kama alichokifanya odinga,ukizungumzia na kuwaambia wapinzani wa Tanzania akina CHADEMA,CUF ,ACT kwa uchache watakwambia watanzania ni wajinga ilhali wao kazi yao kubwa ni kupiga deals za siasa.Watanzania wana Uwezo mkubwa sana wa kuandamana zaidi hata ya wakenya tatizo kubwa lililopo ni nani wa kuorganise?hayupo kinachoendelea kwa wanasiasa wa Tanzania ni mavibe ya kishamba na kijingajinga na kuwahadaa wananchi na cha ajabu watanzania hawajajua kuwa wanasiasa wetu wanacheza political game wao wanafuata tu na kujaza mikutano na wakitoka kwenye mikutano wanatoka na mihemuko ya kipumbavu ambayo haina maana yoyote kwenye maendeleo yao,watu wanapiga kelele na wanashiriki uchaguzi kama kawaida na mwisho wanaibiwa ushindi na kusaini fedha mezani lkn watanzania wanawafuata tu,kweli Umaskini wa akili ni mbaya sana.ndio maana hata upindani ngangari haupo.CCM wanaoharibu nchi hii ni walewale tofauti ni rangi na jinsia tu hakuna cha maana chochote kinachopaswa kupongezwa.CCM inajisifu na kumsifia Mama Samia,upinzani nao wanamsifia kama wanavyofanya CCM Eti hivyo ni vyama vya siasa vinavyopaswa kusimamia maendeleo ya watu.Kazi tunayo watanzania.
 
Huwezi kulinganisha Wakenya na sisi Watz....Wakenya wanajitambua sana....

Watanzania ni tatizo na wanasiasa wetu ni bure kabisa
 
"Sasa wangekuwa wao ndio wako madarakani katika hali kama hii wangekuwa na majawabu Gani? Au ndio bei ingeshuka? Mafuta yamepanda hata Uingereza'- Jakaya Kikwete
 
Mmechagua kubet badala ya kulima ardhi kibao tunayo lakini watu tunabanana mjn wenzetu Kenya ardhi 85% Ni semi desert....hyo bei ujue ina ruzuku serikali imeweka.
 
Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Yeye ametumia Maharage kama mfano, lakini hoja yake ni kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na kupanda kwa bidhaa mbalimbali ikiwemo vyakula na anashangaa kwa nini Watanzania hawaandamani kama Kenya na badala yake wanasifu.
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Kweli yapo mambo mengine yanahitaji ufuatiliaji wa karibu yanyooke katika governance system lakini hili la mfumko wa bei unalizuwiaje. Tuelewe pia kwamba kuna faida zake, saiv wengi wanafikiria au tayari wamewekeza kwenye kilimo kufuatia bei nzuri.
Kama waTz hawajaandamana kama wakenya tunamshukuru Mungu kwa sababu hayo hayana mashiko na yana hasara zaidi kuliko faida! Biashara zinasimama, watalii wamekimbia n.k. Ni siasa mbovu za visasi vinavyotokana uchaguzi uliopita kwa kisingizio cha ugumu wa maisha! Hatuzihitaji hizo!
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
UJINGA, MARADHI NA UMASKINI ndivyo vinavyoisumbua Tanzania..
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Ya Kenya iko katika Tshs au Kshs?
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nendani na familia yako barbrn mnatosha kbsa.
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Umezingatis ubora na aina ya hayo maharage maana hayawezi yote kuwa Bei moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Kwa hiyo watu wote twende Kibondo mashambanikununua maharage? Mimi nimrpita juzi Uvinza, kilo ni zaidi ya 3500. Kinachoongelewa hapa ni bei kztika masoko ambapo watumiaji ndipo wanapată huduma
 
Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Brother naomba nije inbox unisaidie mawazo
 
Back
Top Bottom