Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Bei ya maharage Kenya ni 2861 Tsh/Kg huku Tz ni 4,200Tsh/Kg lakini wakenya wapo Barabarani huku watanzania tukipongezana miaka 2

Ukilinganisha mwenendo wa bei ya bidhaa na huduma 160 za Tanzania ambazo NBS inatumia kuangalia inflation.

Kwa vitu ivyo ivyo ukiangalia na Kenya si ajabu ukakuta Tanzania bei imepanda kwa bidhaa na huduma nyingi kushinda kwa majirani zetu.

Ajabu sisi tupo kwenye low single digit za inflation na majirani zetu wote inflation ni double digits. Bei ya kufunga umeme tu Tanzania imepanda kwa asilimia 1000% halafu eti national inflation ni 4.8% mwezi March.

Hakuna ata mtu mwenye kutaka kuwauliza hao NBS watoe hizo bidhaa na wenyewe wajionee hiyo 4.8% ya inflation wanaipataje.

Halafu wanatoka hadharani wanajigamba kabisa inflation ni low, kwa data ambazo obvious za kupikwa.
 
Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nikishashiba sikumbuki Bei ya bidhaa tumbo kitu kingine Ila njaa ikiuma alafu mfuko hauna kitu lawama zote kwa mama
 
Ukilinganisha mwenendo wa bei ya bidhaa na huduma 160 za Tanzania ambazo NBS inatumia kuangalia inflation.

Kwa vitu ivyo ivyo ukiangalia na Kenya si ajabu ukakuta Tanzania bei imepanda kwa bidhaa na huduma nyingi kushinda kwa majirani zetu.

Ajabu sisi tupo kwenye low single digit za inflation na majirani zetu wote inflation ni double digits. Bei ya kufunga umeme tu Tanzania imepanda kwa asilimia 1000% halafu eti national inflation ni 4.7%.

Hakuna ata mtu mwenye kutaka kuwauliza hao NBS watoe hizo bidhaa na wenyewe wajionee hiyo 4.7% ya inflation wanaipataje. Halafu wanatoka hadharani wanajigamba kabisa inflation ni low, kwa data ambazo obvious za kupikwa.
Emu hio inflation iweje kwa kiswahili kuna ngumbaru hawakuelewi unamaanisha nini
 
NIKO MOROGORO, BEI YA MAHARAGE NI 4000/KG,

ILA KUNA MINGENSE MINGINE INABISHA TU.

ILA NATAKA NIWAAMBIE SA100 AKIONDOKA KWENYE UTAWALA HATOAMINI ATAKACHOFANYIWA NA WALAMBA ASALI
 
Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Toka hapa na bei zako zakubumba mwanza bei ni 3200 ,2500 ya nyoko!?
 
Ni ngumu kuelewa hii lakini haya ni mambo ya kiuchumi zaidi.

Ukiambiwa gape la walio nacho na wasio nacho kenya na tanzania ni tofauti uelewe kwa namna hiyo.

Maisha ya masikini kenya ni makali sana ukilinganisha na TZ.
By the way mambo ya kupongeza ni uchawa.
 
Kenya unga kilo 3600 acha kusifia sifia majirani!! Kule njaa nikali
 
Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Mpaka hapo mtoa mada muongo mkoani maharage average price ni2500 halafu yeye kasema 4200 yaan impossible hata kama ni mjin daresalama
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nenda Kenya kanunie uje uuze Tz Fursa hiyo
 
Jamaa mbna nyie ni waongo HV Lina maharage yameuzwa Bei hyo ya elf 4200 mnampotosha Nani na kwa manufaha gani

Mm nimlagi wa maharage Bei ya juu sna nanunua kwa kg 3400 ya Chini San 3200 Niko ddm ,ilazo

Nilikuwa dar es salama Bei ilikuwa hvyo hvyo ya 3400 kwa kg SAS unavyosema Bei ni 4200 nawashangaa sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu wachukue bei ya juu kabisa kufikiwa eneo lolote nchini (peak), hiyo ndiyo mjadala. Mara nyingi itakuwa kwenye miji au majiji yenye masoko na maduka ya tabaka mbali.
Akili ya watu wenye upeo mpana inawaza nchi nzima na wananchi wote kwa ujumla, siyo pale alipo yeye mwenyewe.
 
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.

Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.

Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.

Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo menginndsndamsano e ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Kama mandamano ndiyo ufumbuzi, naomba yakisha hayo mandamano uje Tena hapa utueleze, namna bei ilivyopungua
 
Back
Top Bottom