Kwa kahama acha uongo ni 3500Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Nadhani umeona nguvu ya kiongozi na nn maana ya kusimama mstari wa mbele kama alichokifanya odinga,ukizungumzia na kuwaambia wapinzani wa Tanzania akina CHADEMA,CUF ,ACT kwa uchache watakwambia watanzania ni wajinga ilhali wao kazi yao kubwa ni kupiga deals za siasa.Watanzania wana Uwezo mkubwa sana wa kuandamana zaidi hata ya wakenya tatizo kubwa lililopo ni nani wa kuorganise?hayupo kinachoendelea kwa wanasiasa wa Tanzania ni mavibe ya kishamba na kijingajinga na kuwahadaa wananchi na cha ajabu watanzania hawajajua kuwa wanasiasa wetu wanacheza political game wao wanafuata tu na kujaza mikutano na wakitoka kwenye mikutano wanatoka na mihemuko ya kipumbavu ambayo haina maana yoyote kwenye maendeleo yao,watu wanapiga kelele na wanashiriki uchaguzi kama kawaida na mwisho wanaibiwa ushindi na kusaini fedha mezani lkn watanzania wanawafuata tu,kweli Umaskini wa akili ni mbaya sana.ndio maana hata upindani ngangari haupo.CCM wanaoharibu nchi hii ni walewale tofauti ni rangi na jinsia tu hakuna cha maana chochote kinachopaswa kupongezwa.CCM inajisifu na kumsifia Mama Samia,upinzani nao wanamsifia kama wanavyofanya CCM Eti hivyo ni vyama vya siasa vinavyopaswa kusimamia maendeleo ya watu.Kazi tunayo watanzania.Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Mpaka hapo mtoa mada muongo mkoani maharage average price ni2500 halafu yeye kasema 4200 yaan impossible hata kama ni mjin daresalama
Yeye ametumia Maharage kama mfano, lakini hoja yake ni kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na kupanda kwa bidhaa mbalimbali ikiwemo vyakula na anashangaa kwa nini Watanzania hawaandamani kama Kenya na badala yake wanasifu.Bei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Tutekeleze hilo chimbo lilipo Aisee!Hakuna bei flat Kwa nchi nzima.
Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Kweli yapo mambo mengine yanahitaji ufuatiliaji wa karibu yanyooke katika governance system lakini hili la mfumko wa bei unalizuwiaje. Tuelewe pia kwamba kuna faida zake, saiv wengi wanafikiria au tayari wamewekeza kwenye kilimo kufuatia bei nzuri.Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nikweli kabisaHakuna bei flat Kwa nchi nzima.
Hapahapa Tanzania kuna sehem maharage ni Chini ya 2800 kg .
Kusema pia Ujinga ni Baraka ni zaidi ya ujinga upumbavu na labda ujuha ulokithiri .Tanzania imebarikiwa kuwa na watu wajinga sn
SureKusema pia Ujinga ni Baraka ni zaidi ya ujinga upumbavu na labda ujuha ulokithiri .
UJINGA, MARADHI NA UMASKINI ndivyo vinavyoisumbua Tanzania..Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Ya Kenya iko katika Tshs au Kshs?Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Nendani na familia yako barbrn mnatosha kbsa.Ama kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa 😄.
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Sasa 3000_3500 ni 4200 ,acheni upimbiMkuu maharage yameanza kushuka bei wiki hii ,maharage yameuzwa Kwa bei ya mleta hoja Wiki moja nyuma huku kwangu 3000-3500
Umezingatis ubora na aina ya hayo maharage maana hayawezi yote kuwa Bei mojaAma kweli, ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huu ndiyo uhalisia wa hali zilivyo katika nchi hizi mbili.
Ukiachilia mbali swala la mfumuko wa bei, nina uhakika endapo haya yanayotokea katika shirika la TANESCO na kutesa wananchi kwa migao ya umeme kila kona lingetokea kwa majirani zetu, tayari baadhi ya watu wangeshawajibishwa na umma. Achilia mbali maji, huduma za afya, elimu, miundombinu, ulambaji asali n.k.
Lakini cha kushangaza, Watanzania wako busy na kusifu na kuimba mapambio ya kupongezana kana kwamba sasa Tanzania ni New York kubwa [emoji1].
Ni mwendo wa kupongezana na kusifiana tu! Tanzania mbele kwa mbele! Note: Kuna wanaoponda ila kupanda bei maharage ni mfano tu, hapa nazungumzia kupanda bei bidhaa kiujumla, pamoja na mambo mengine ya hovyo yanayoendelea kama migao ya umeme, maji n.k.
Kwa hiyo watu wote twende Kibondo mashambanikununua maharage? Mimi nimrpita juzi Uvinza, kilo ni zaidi ya 3500. Kinachoongelewa hapa ni bei kztika masoko ambapo watumiaji ndipo wanapată hudumaBei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.
Brother naomba nije inbox unisaidie mawazoBei ya maharage Kibondo ni 2250 TSH, Mpanda 1800 TSH, Kasulu 2100 TSH, Kahama 2400 TSH, Mwanza 2350 hadi 2500 TSH, Tabora 2400 TSH, Singida 2500 TSH, Karagwe 1950 TSH. Nitaendelea kuleta bei za maeneo mbalimbali. Maharage hutofautiana bei kama njano ndefu, njano ya glori na rose coco, nyekundu, kitenge. Bei ni tofauti kwa kila sampo.