Tarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.Habari yako haijajitosheleza, please andika habari iliyokamilika.
Pamoja na majukumu ya kusomesha! Haki ya mungu tukutane 2020Huku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....
Wapi huko mkuu?Gunia elfu 60
Wapi huko mkuuGunia elfu 60
Acha utani wewe, kwa iyo nikihamia huko nanunua gunia kumi kwa 170,000/=. Hapo uhakika wa kumuunga Raisi mkono kwa ufyatuaji wa watoto ningeufanya vizuri.Huku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....
Itakua ukweli kabisaAcha utani wewe, kwa iyo nikihamia huko nanunua gunia kumi kwa 170,000/=. Hapo uhakika wa kumuunga Raisi mkono kwa ufyatuaji wa watoto ningeufanya vizuri.
Pole yao wakulima kwa bei hiyo wanakula hasara himilivu.
Sawa mkuu hii inaweza kuwa sio nzuri kwa wakulima lakini pia ni habari njems kwa wafanya biashara na haya ndio maisha hayawezi kuwa fair kwa wote, ns ukiona hivo ujue chakula kipo cha kutosha.Tarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.
Pamoja na majukumu ya kusomesha! Haki ya mungu tukutane 2020
Wapi mkuu ? 8000 bado ni nzuri huku songwe ni 5000,mpaka 4000Hapa nilipo debe 7000_8000.
Hiyo bei ya 9000 ni ya wapi.?
Wapi mkuu? Huku hali mbaya ,kama kweli tufanye BiasharaSisi ni elf kumi debe
Hawa majamaa hawatishiki na box la kura. Ubabe ubabe tu.Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Kwa hiyo wewe unataka debe lifike million moja halafu unga upande bei ndio ufurahie hahaha hivi vichwa huwa mnahifadhi funza?MKUU SISI KIPAUMBELE CHETU NI KUJENGA MIUNDO MBINU PAMOJA NA KUFUFUA MASHIRIKA YA NDEGE.
Pia kingine tumejikita zaidi kuharibu upinzani na kuwanunua pia.Mahindi wapeni mifugo wale
Kwenu wapi wewe!?!au unafikiri tunakuona kwenye keyboard!!niletee gunia 200 dar wiki hii nakupa kila gunia 30,000/= kama uko siriasiHuku kwetu kilo 170/=,yaani gunia la kilo 100 17,000/=,HAPA KAZI TU.....
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Ikumbukwe kuwa mazao makuu ya chakula hayapaswi kufanywa mbadala kuwa mazao ya Biashara, siku zote yanapaswa kuwa chini sana ndio maana serikali kote Duniani hufanya kila mbinu kusaidia uzalishaji kuwa rahisi ili kupunguza ukali wa maisha watu wafikirie maendeleo sio chakula tena.Mkulima umemuwazia ?!