Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

Bei ikipanda sana nalo litakua ni tatizo pia.
Imeshuka Kwa kasi mno. Mwaka juzi gunia ilikuwa 120000 hadi 150000, mwaka Jana ikawa 80000 ila mwaka huu ndo shida zaidi pamoja na hyo bei wanunuzi hakuna
 
Acha utani wewe, kwa iyo nikihamia huko nanunua gunia kumi kwa 170,000/=. Hapo uhakika wa kumuunga Raisi mkono kwa ufyatuaji wa watoto ningeufanya vizuri.
Pole yao wakulima kwa bei hiyo wanakula hasara himilivu.
Itakua ukweli kabisa
 
Tarafa ya mpepo- nyasa-ruvuma kijiji kinaitwa Malungu.

Pamoja na majukumu ya kusomesha! Haki ya mungu tukutane 2020
Sawa mkuu hii inaweza kuwa sio nzuri kwa wakulima lakini pia ni habari njems kwa wafanya biashara na haya ndio maisha hayawezi kuwa fair kwa wote, ns ukiona hivo ujue chakula kipo cha kutosha.
Lakini kumbuka kuna mikoa mingine bei iko poa.
 
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Hawa majamaa hawatishiki na box la kura. Ubabe ubabe tu.
 
Kwetu tarafa ya MWIGULU nchemba gunua LA debe sita 30000 Hiyo bei ya 9000 pakia leta huku utapata faida
 
MKUU SISI KIPAUMBELE CHETU NI KUJENGA MIUNDO MBINU PAMOJA NA KUFUFUA MASHIRIKA YA NDEGE.
Pia kingine tumejikita zaidi kuharibu upinzani na kuwanunua pia.Mahindi wapeni mifugo wale
Kwa hiyo wewe unataka debe lifike million moja halafu unga upande bei ndio ufurahie hahaha hivi vichwa huwa mnahifadhi funza?
 
Wacha tuisome wote hadi tukome
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
 
Back
Top Bottom