Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Habari Wakuu?

Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.

Je, huko kwenu ni kiasi gani?

Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.

Christmas itakuwaje?

Mama ana ......................
 
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
Tatizo sio kua na ng'ombe wengi tatizo ni shilling ya Tanzania inashuka thamani kwa kasi....shilling 10,000 kwa sasa huwezi kuacha nyumbani kwa mke na watoto wawili ukichelewa kurudi nyumbani usiku hawali kwasbb haitoshi milo miwili.
 
Back
Top Bottom