Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Nyama ni 11000 mpaka 12000 kwa kilo.
Ukikuta nyama inauzwa 10000au 8000 kwa kilo basi ujue wanaiba au wanapunguza mizani, yani haitimii kilo kamili. Na pia siyo nyama nzuri. Nyama zina grade
 
Huku kwetu hio elfu 12 tushasahau zamani.
Kg ni 14K, karibuni Zenji..mji wa kitalii
 
Wakuu

Kumekuwa na taarifa za nyama kupanda bei katika maeneo mbalimbali nchini

Wengine kilo imefika Tsh. 11,000 kwa Dar. Kwa hali hii Sikukuu itakuwa ngumu mno

Ni mwendo wa Majani tuu🤣🤣🤣

Hapo ulipo nyama ni bei gani?
 
Kula mchicha mkuu Acha kuumiza kichwa kwa kitu chenye solution wala hautakufa.
 
Habari Wakuu?

Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.

Je, huko kwenu ni kiasi gani?

Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.

Christmas itakuwaje?

Mama ana ......................
Kama naona kuku zinavyopotea mtaaniii
 
Habari Wakuu?

Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.

Je, huko kwenu ni kiasi gani?

Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.

Christmas itakuwaje?

Mama ana .............

Habari Wakuu?

Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.

Je, huko kwenu ni kiasi gani?

Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.

Christmas itakuwaje?

Mama ana ......................
Hiyo ndo Bei maeneo mengi,tupige tuu fish na kuku sasa
 
Tatizo sio kua na ng'ombe wengi tatizo ni shilling ya Tanzania inashuka thamani kwa kasi....shilling 10,000 kwa sasa huwezi kuacha nyumbani kwa mke na watoto wawili ukichelewa kurudi nyumbani usiku hawali kwasbb haitoshi milo miwili.
Fuatilia taarifa za uchumi vizuri, kuna kitu huenda unakosa
 
Habari Wakuu?

Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.

Je, huko kwenu ni kiasi gani?

Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.

Christmas itakuwaje?

Mama ana ......................
14000🙄🙄
 
Kwenye mabar napo naona wamepandisha bei ya supu.
Kuna sehemu tulikuwa tunapata supu safi kwa elfu 3 sasa wamepandisha 3500
 
Back
Top Bottom