Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

9000 machinjioni ukibonga nao vizuri 5000 unapata ila kww wizi
 
Kigoma mjini 7000/ tena una bembelezwa na kupewa ahadi ya kupunguziwa mifupa
 
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
Haiwezekani iwe inaikaribia kitimoto wallahi..!!
 
Naskia changamoto ni kufungua soko la biashara ya ng'ombe Comoro.kipindi cha Jiwe yeye aliataka wauziwe nyama tu ili bidhaa nyingine inayotokana na ng'ombe iongeze thamani.Ila utawala SASHA wanunuzi wa kikomoro wanakwenda mpaka minada ya ndani huko
 
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
9000
 
14000 pemba
 
Kuna mji fulani nilipita buchani asubuhi nikaona wameandika bei ni elfu kumi,ila nikapita mida ya jioni nikakuta wameshusha bei na kuwa elfu tisa na mia tano
 
Back
Top Bottom