Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Bei ya nyama ya ng'ombe kwenu kiasi gani?

Nanunua mabucha ya pale tegeta kwa elfu nane,kwingine elfu kumi
 
Naskia changamoto ni kufungua soko la biashara ya ng'ombe Comoro.kipindi cha Jiwe yeye aliataka wauziwe nyama tu ili bidhaa nyingine inayotokana na ng'ombe iongeze thamani.Ila utawala SASHA wanunuzi wa kikomoro wanakwenda mpaka minada ya ndani huko
Wacomoro wameharibu hadi biashara ya mbuzi, last week nilienda Pugu mnadani ila bei zake hazishikiki, unakutana na Wacomoro wana vibegi vya pesa wakilangua mbuzi kwa bei ya juu
 
Tule mchicha tu kwanza nyama sio nzuri kiafya.
1000016734.jpg
 
Huku nilipo dar es salaam nje mbali kidogo na Jiji la DSM inauzwa @ 11,000 TSh
 
Habari Wakuu?
Leo nimeenda buchani jijini la dasalamaa. Nikakuta bei ya nyama kilo moja ni elfu 12.
Je huko kwenu ni kiasi gani?
Ikumbukwe Tanzania ni nchi ya 3 kuwa na ng'ombe wengi Africa.
Christmas itakuwaje?
Mama ana ......................
8000 Kanda ya ziwa
 
Nimetoka kununua kilo moja 6000 huku ilala bungoni
Kibudu hiyo! Pale Mwisho wa lami kuna eneo linaitwa nyama choma, mapema tu saa 12 na nusu supu ya kuku na ng'ombe tayari, kuna siku afrajili moja nikakuta anapakiwa ng'ombe mfu kwenye carry, nikabaki na maswali kichwani...Mjini mipango.
 
Ni 12 elfu.

Mlangoni kwangu nimeweka msemo wa waha, "viharage visumbi nyama" 😂
 
Back
Top Bottom