Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo ni kawaida ungesoma uchumi ungejua kwan hapa kati hukuwai kununu limao moja kwa 500 je saiv ipo shingapWiki za hivi karibuni Bei ya nyanya IPO chini sana...mfno dar es salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya Kwa elfu 1...hii Haina faida kabisa Kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama snaa
Basi unapigwa bei saiv mpaka 100-200Asaivi 400
Ilikuwa zamani sasa hivi tunalima kupata faida mkuuMkulima mzuri ni yule anayelima bila kujali hali ya soko ipoje.
Ila hasara zipoNi kweli lakini hatulimi kwaajili ya kupata hasara
Ilikuwa zamani sasa hivi tunalima kupata faida mkuu
Pisi kali kwa sasa ni limao, eeh anabei sio poa
Sawa mkuuMkuu nyanya Kwa Sasahivi inalimwa Kwa wingi mno hapa nchini.
Na Soko lake Kwa hapa nchini sio kubwa kwani inazidi watumiaji.
Iko Hivi nynya siku zote hizo ilikuwa inaenda nje mfano
Kenya,Rwanda,Uganda na hata Kongo
Kwa saivi imekuwa shida sana kutokana na mipaka kuzuiliwa Kwa sababu ya mpox katika Nchi hizo
Mkulima mzuri ni yule anayelima kwa kuzingatia 'umbo' la sokoMkulima mzuri ni yule anayelima bila kujali hali ya soko ipoje.