Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Bei ya nyanya imeshuka sana sokoni

Pule

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
378
Reaction score
719
Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1.

Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama sna.
 
Wiki za hivi karibuni Bei ya nyanya IPO chini sana...mfno dar es salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya Kwa elfu 1...hii Haina faida kabisa Kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na kuitunza nyanya yenywe ikiwa shambani ni gharama snaa
Iyo ni kawaida ungesoma uchumi ungejua kwan hapa kati hukuwai kununu limao moja kwa 500 je saiv ipo shingap
 
Mkuu nyanya Kwa Sasahivi inalimwa Kwa wingi mno hapa nchini.

Na Soko lake Kwa hapa nchini sio kubwa kwani inazidi watumiaji.

Iko Hivi nynya siku zote hizo ilikuwa inaenda nje mfano
Kenya,Rwanda,Uganda na hata Kongo

Kwa saivi imekuwa shida sana kutokana na mipaka kuzuiliwa Kwa sababu ya mpox katika Nchi hizo
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom