njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
🤣🤣🤣🤣Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zanzibar wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zanzibar wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Lakini unakubali bara tunawahudumia Zanzibar? Kwa cost ya Muungano.Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano Kodi na Mengineyo mengi usitegemee Zanzibar kufanana na bara sababu kuna mambo Rais wa Jamhuri ya muungano hana mamlaka nayo...
Lakini unakubali bara tunawahudumia Zanzibar? Kwa cost ya Muungano.
Bora tuuvunje tu.muungano wa faida !.visiwani wanatafata sheria ya kiislamu kwenye biashara huku wakilipiwa na bara kila kitu.
mkopo usiokuwa na riba ila bara mtawalipia tu.
umeme toka bara.
mafuta
vyakula
Sema Tanganyika na Zanzibar maana sisi Watanganyika tumeacha identity yetu ipotee kabisaPicha moja ni Kisauni, Zanzibar wakati nyingine ni Sirari, Mara. Gap la bei ya mafuta ni kubwa sana. Kuna namna Muungano wetu upo kinafki sana...imagine eti hii ni nchi moja
View attachment 2212122
View attachment 2212123
Mkojani wao si ndio kashika mpini? Tufanyeje?Muungano wa faida! Visiwani wanatafata sheria ya kiislamu kwenye biashara huku wakilipiwa na bara kila kitu.
mkopo usiokuwa na riba ila bara mtawalipia tu.
Umeme toka bara.
Mafuta
Vyakula
UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?