Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Kwani tanganyika haina autonomy kisheria ndio maana mafuta yamepanda ?

Tanganyika haina mamlaka kamili kisheria ndio maana mafuta yamepanda ?

Tanganyika hawatumii tumii kodi zao ndio mwana mafita yamepanda mkuu ?

Kwenu mafuta yako juu sababu ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lililotunga sheria inayowagonga kodi kubwa hivyo kufikia bei hizo mnazolalamikia
 
Muungano wa faida! Visiwani wanatafata sheria ya kiislamu kwenye biashara huku wakilipiwa na bara kila kitu.
mkopo usiokuwa na riba ila bara mtawalipia tu.
Umeme toka bara.
Mafuta
Vyakula
Hizi kauli zilimgharimu yule mbunge wa Nkasi.

Kiukweli Tanganyika tunawalisha Zanzibar kama wake zetu, kila kitu, umeme, mafuta, chakula na kila kitu.

Huu muungano ni wa aina yake.
 
Kwenu mafuta yako juu sababu ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lililotunga sheria inayowagonga kodi kubwa hivyo kufikia bei hizo mnazolalamikia
Naaaaam hapo ujue kwamba hizo ndio sababu za mafuta kupanda.

Unapoleta sababu za kwamba zanzibar ina mamlaka kamili,au zanzibar ina autonomy hizo sio sababu za zanzibar mafuta kuwa ya bei ya chini.

Sema kwamba wetumia vizuri autonomy yao,wamwtumia vizuri mamlaka yao kwa maslahi ya wananchi katika inshu hiyo.
 
Kwanza ningependa kuwakumbusha kama Zanzibar ni nchi ambayo ina raisi wake, ina Bandari yake na ina kila kkitu chake.
Nimekua sipati majibu kwa nini Watanzania bara walio wengi wao wekua na wivu na manung’uniko juu ya visiwa hivi vya Zanzibar mpaka kufikia kulalamika hadharani juu ya bei zetu kuwa chini.

Na pia utaona wanaanzisha thread katika majukwaa tofauti kuwadhihaki na kuwasimanga Wazanzibari mara utawaskia ooh Wanawake wa Zanzibar sijui hawana bikra sehem fulani, jitu linasema ivo ata halijawahi kumuona msichana wa kizanzibari, kwenye hili la mahusiano leo niwaweke wazi ni suala la aibu na fedheha sisi wasichana wa kizanzibari kuwa na mahusiano na wasiekua wazanzibari haswa Watanganyika, kwaio msijisumbue bure wakuu.

Na pia wengi wenu mnaomchukia Raisi aliepo sasa madarakani ni kwa Sababu ya Uzanzibari wake, amekua hana jema kwenu, maana itafika wakati mtu akinyimwa unyumba na mke wake atakuja majukwaaani kulalamika rais amesababisha hivo nawaomba ndugu zangu Watanganyika mpunguze makasiriko.

Mwisho kabisa ningewaomba watanzaania bara mupambane na hali zenu baadhi yenu chuki zenu zidi ya visiwa vya Zanzibar havitowasaidia kitu zaidi ya kuwaongezea maumivu ya moyo kwa sababu Wazanzibari tuna tamaduni zetu na silka zetu na tunajivunia Uzanzibari wetu

A6DE24F0-6D93-45BC-95DC-32E5D66B73CD.jpeg
 
UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
Haya timekusikia nenda kamsalimie Shaka Zulu hapo ofisi ndogo za kisiwandui au lumumba nadhani
 
Mambo mengine ni kutumia akili tuu. Hebu piga picha pale bigbon kariakoo halafu tupigie na kule ngara tujaribu kulinganisha. Huko sirari si mpakani na Kenya huko
 
Kwanza ningependa kuwakumbusha kama Zanzibar ni nchi ambayo ina raisi wake, ina Bandari yake na ina kila kkitu chake.
Nimekua sipati majibu kwa nini Watanzania bara walio wengi wao...
Unaongea upuuzi mtu..zenji nchi kutokea wapi..wakati kila kitu mnategemea Tanganyika..

tuanze na umeme lipeni deni.

Pia zile billion 200 za korona hivi mtazilipaje.

Tatu hivi kwenye muungano mnachangia bei gani kuendesha serikali ya muungao

Mnafugwa bado mnajiona wamiliki halali.

Nivyema mngekaa kimya tu na kushukuru Mungu kwa ufadhili wa kimaisha na kiuchumi toka Tanganyika.

Koti la muungano linawabeba sana.


#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanza ningependa kuwakumbusha kama Zanzibar ni nchi ambayo ina raisi wake, ina Bandari yake na ina kila kkitu chake.
Nimekua sipati majibu kwa nini Watanzania bara...
Zazibar ni nchi kamiri hupanga mamba yao kulingana na hali ya watu wao, viongozi wao ni wazazibar na wana uzalendo sioni haja ya kulalamika, baneni bunge lenu na viongozi wenu.
 
Unaongea upuuzi mtu..zenji nchi kutokea wapi..wakati kila kitu mnategemea Tanganyika..

tuanze na umeme lipeni den...
Haya ndio yale makasiriko niliyokua nayaongelea, ivo vitu hua vinakuja bure huku Zanzibar? Na mutushukuru sana wakulima wenu wamepata soko la kuuzia bidhaaa zao kwaa uhakika
 
Wamiliki wa vituo vya mafuta, kama si waarabu, basi ni wa kutoka visiwani na muislam. Wanaouza mchele, mafuta ya kupikia, ngano na vyakula kwa ujumla na bidhaa mbalimbali, ni hao hao. Dada yao kwa makusudi, anasimama na kutangaza ongezeko la bei, hatsi pasipo na ulazima, na kwa kawaida ya mfumo hovyo wa hii nchi, akitamkacho rais, huwa. Anawafaidisha jamaa zake kwa makusudi bila ya kujali wananchi wengine na hali zao!
 
Back
Top Bottom