Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuel kama Petrol, diesel etc..Kitu kama kipi iko unazungumzia ambacho Bara kimezidi bei nyakati hizi ila Zanzibar bei iko stable
mtu akisema kuanzia sasa mkono wako wa kulia utaitwa “mguu wa begani” haitamaanisha mkono wako wa kulia haupo tena..Iko wap? Na Rais wake nani?
Mfano mbovu ulotoa.mtu akisema kuanzia sasa mkono wako wa kulia utaitwa “mguu wa begani” haitamaanisha mkono wako wa kulia haupo tena..
seriikali ya Tanganyika ipo, na kwa sasa haina Raisi halali.
mtu akiamua kuiita majina yasiyo na mantiki kama serikali ya jamuhuri ya muuangano ni yeye tu....
Ukweli nikua muungano upo kwenye baadhi ya mambo tu.
yasiyo ya muungano kwa upande wa Tanganyika yapo chini ya seriikali ya Tanganyika ambayo imepewa jina “fake” la serikali ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania..
Ukitaka kuiua seriikali ya Tanganyika basi badilisha muungano uwe wa serikali moja na raisi mmoja, na sio kuibadilisha jina tu..