donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Duuuh?Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh?Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Mambo ya chuki yanatoka wapi mkuu? Kuuliza nini kinasababisha tofauti ya bei Kati ya bara na visiwani ndio chuki?Duniani kote kilio ni bei ya mafuta na gesi kuwa juu. Hayo mengine ni chuki tu juu ya mtawala,mi nadhani hata mungelileta jiwe kipindi hiki angesema Kama mnaona mafuta yamepanda jazeni mkojo kwenye vyombo vyenu. Tusiwe na roho mbaya tumuache Mama afanye kazi yake muda uishe aje mtawala mwingine. Vyovyote mfanyavyo Jiwe ndo amekufa hivyo
Hyo ni chuki tu kwa huyo jiwe, sasa inatakiwa mjibu kero za wananchi, kumsingizia marehemu tumechoka.Duniani kote kilio ni bei ya mafuta na gesi kuwa juu. Hayo mengine ni chuki tu juu ya mtawala,mi nadhani hata mungelileta jiwe kipindi hiki angesema Kama mnaona mafuta yamepanda jazeni mkojo kwenye vyombo vyenu. Tusiwe na roho mbaya tumuache Mama afanye kazi yake muda uishe aje mtawala mwingine. Vyovyote mfanyavyo Jiwe ndo amekufa hivyo
Hahaha chokeni tuHyo ni chuki tu kwa huyo jiwe, sasa inatakiwa mjibu kero za wananchi, kumsingizia marehemu tumechoka.
Msafara wa mamba na kenge mpo. Na kwa Tanzania mpo wengi tu.Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Sioni logic yako katika hili jibu.Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa?
Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
View attachment 2212059View attachment 2212060View attachment 2212064
Mwaka 2012 nafikiri Zitto alisema tumekosea kufanya mafuta kua swala la muungano.Mambo ya chuki yanatoka wapi mkuu? Kuuliza nini kinasababisha tofauti ya bei Kati ya bara na visiwani ndio chuki?
Mkuu usiumize sana kichwa Zanzibar toka enzi na enzi vitu rahisi haswa vinavyoagiza nje ya nchi sio East Africa na wala sio tu mafuta hata magari Zanzibar rahisi, vifaa vya electonic Zanzibar ndo usiseme kuna upungufu kwenye kodi nusu yake kwenye vitu vingi uvionavyo vinavokuwa import. Mbona hayajaanza utawala wake toka Ali Hassan Mwinyi, Mkapa, kikwete, John Pombe mbona hamkusema hayo acheni unafiki mkumbuke ni nchi mbili tofauti na sio kila jambo lipo kwenye Muungano mengine hayapo.Nauliza kwanini kuwe na tofauti ya bei katika nchi moja?
Iko wap? Na Rais wake nani?ndio
Sawa kabisa Serikali wafanye petrol tsh 5500/= kwa liter na diesel iwe 1000/= kwa liter.Tuuacheni kelele hizi zinachosha tufanye kazi ni ujinga kufananisha Zanzibara na Huku tunakodi nyingi sababu nyingi wafanyakazi wengi, barabara nyingi kila kitu kingi. Jambo jepesi la kufanya ishi kwenye budget yako tumia same amount kwenye fuel punguza trips zisizo za lazima, na kama ulikuwa unasafiri sana punguza safari zisizokuwa za lazima tumia njia mbadala yako mambo mengi kila mtu anaweza kufanya bila kuongeza gharama. Bei ya mafuta haitashuka sababu sio mafuta yetu ila kuna jambo dogo serikali wanaweza kufanya punguza kodi ya Diesel ishuke halafu ongeza kwenye petrol ifidie temp solution.
Mbona tayariSawa kabisa Serikali wafanye petrol tsh 5500/= kwa liter na diesel iwe 1000/= kwa liter.
Makavu liveZenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Mkuu umeongea kitu cha msingi sana.....muda mwingine nikimsiliza huyu MAHUYEMBA akiwa anahojiwa na vyombo mbalimbali nakuwa nashindwa kuelewa kwamba huyu ndo kakabidhiwa dhamana ya watanzania 50mil+? ..... Anyway kwa kifupi tu nchi iko tehaniZanzibar wana Rais mwenye akili na anajua kuzitumia.
Kuwa kiongozi sio kutumia pesa nyingi kucheza movie na kuendeshwa kwa v8, maana halisi ya uongozi ni kuzitambua changamoto zinazokuja, na zilizopo, kuzishughulikia mapema kwa ajili ya unafuu ya wale waliokupa dhamana ya kuwaongoza.
Sio kila ukiulizwa tatizo nini, jibu ni lilelile bei ya mafuta imepanda kwasababu ya vita ya Urusi, vipi hiyo vita isipoisha? bei ya mafuta itaendelea kupanda mpaka lini?
Kama uongozi umewashinda, kistaarabu tu waitishe uchaguzi mkuu mapema, tupate viongozi wapya watakaotumia bongo zao kutuondoa kwenye hii mikwamo, waje na immediate short term plan, na long term plan, ili kuwanusuru wenye kipato cha chini.