Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Mnatoa bure ivyo vitu ata mseme mnatulisha? 😀 vitunguu maji dubai rahisi kuliko apo kwenu. Hebu fanyeni kuzuia bidhaa zenu muone kama tutakufa njaa. Sukari tunaitoa brazil ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka mtibwa, saruji inatoka dubai ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka hapo Tanga tu.
Wape wapeee vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yaooo.
 
Haya mambo tunapaswa kuanza jiuliza. Wao Zanzibar bei ya mafuta ipo chini sana. Je wanatumia utaratibu ganj ambao unawasaidia hadi mafuta kwao inakuwa chini sisi Bara Juu?

Kwa nini Nchi Nzima tusitumie utaratibu huo huo? Wakati Bara tunaumia na Kodi na Tozo Nyingi wao wanalamba tu Asali.
Screenshot_2022-05-06_095329.jpg
 
Ushahidi wenye mashaka, tutadhibitishaje hii picha ilipigwa jana!? Labda ni Picha ya Siku nyingi. Tusijekuwa tunaichonganisha serikali ya Muungano na wananchi wa Tanzania Bara.

Hiyo tarehe ya screen shot haihalalishi kuwa ni Picha ilipigwa tarehe hiyo. Ushahidi waziada unatakiwa.
 
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Yaani Zenji wana Danfa lao linalo itwa Tanganyika aisee nimecheka kwa sauti kuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wana tufanyia hivyo lakini? wata tufanya tuone huu muungano hauna maana aisee kwa sababu wa Zanzibar ni kama wana faidika zaidi na huu muungano kushinda sisi wa bara [emoji24] maana yake nini sasa!
 
Yule ni mzanzibar kwa taarifa tu ,baba yake alikua rais wa znz znz hawezi kuekwa rais ambae si mznz ni katiba
Kiasili huseni ni mtanganyika sio mzanzibari,ila kimakaazi ni mzanzibari kwa sababu baba yake alienda kule miaka mingi sana.

Ila watanganyika wanaongoza vizuri zanzibar
 
Naomba kuuliza wakuu,
Mama alisema tusilalamike bei ya mafuta (petrol) kupanda kwani suala la vita Kati ya Ukraine na Russia limeathiri bei ya mafuta duniani kote. Ndugu zetu WA visiwani (Zanzibar) bei ya petrol kwa lita moja ni Tshs.2642/= na enzi za shule tulisoma moja ya mambo ya union matters yanayotuunganisha pia ni maswala ya mafuta kama sikosei. Je, kwanini kwa wenzetu bei haijapanda?
 
Ni kweli, bei huko duniani iko juu; na kodi ikipunguzwa kwenye mafuta, kuna mipango itakwama
 
Nauliza kwanini kuwe na tofauti ya bei katika nchi moja?
Kuna kitu kinaitwa 'sacrifice' ndio kinachofanyika; mfano kama kwenye bajeti, walisema watakusanya kiasi fulani, leo uondoe hayo mapato itakuwaje?
 
Naomba kuuliza wakuu,
Mama alisema tusilalamike bei ya mafuta (petrol) kupanda kwani suala la vita Kati ya Ukraine na Russia limeathiri bei ya mafuta duniani kote. Ndugu zetu WA visiwani (Zanzibar) bei ya petrol kwa lita moja ni Tshs.2642/= na enzi za shule tulisoma moja ya mambo ya union matters yanayotuunganisha pia ni maswala ya mafuta kama sikosei. Je, kwanini kwa wenzetu bei haijapanda?
Usilinganishe Znz na Tanganyika. ZNZ BAJETI yake ni ka trilioni kamoja tu , bara trilioni 30. Znz ni kaeneo kadogo tu kwa hio hio 2600 bado ni kubwa kwa znz
 
Duniani kote kilio ni bei ya mafuta na gesi kuwa juu. Hayo mengine ni chuki tu juu ya mtawala,mi nadhani hata mungelileta jiwe kipindi hiki angesema Kama mnaona mafuta yamepanda jazeni mkojo kwenye vyombo vyenu. Tusiwe na roho mbaya tumuache Mama afanye kazi yake muda uishe aje mtawala mwingine. Vyovyote mfanyavyo Jiwe ndo amekufa hivyo
 
Back
Top Bottom