Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ngoja wakomeshwe haswaMkiambiwa katiba mpya mnaziba masikini. Leo mtetezi CHIsADEMA hayupo tena tutaona maumivu makubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wakomeshwe haswaMkiambiwa katiba mpya mnaziba masikini. Leo mtetezi CHIsADEMA hayupo tena tutaona maumivu makubwa.
Ndiye aliyepandisha bei? Au ndiye aliyechanganya mchanga? Au analaumiwa nini akiwa kama raisi wa 5 baada ya miaka 56 ya uhuru?Tunapomlaumu mwendazake zake muwe mnatuelewa,
Hapo wewe unaona mjinga ni Nani?Sio mafuta tu, hata umeme tunawalipia sisi hao wala urojo
CCM bara
Sijui kama unajua maana ya autonomyKuwalaumu Zanzibar wakati wao wanatumia kodi zao kuendesha serikali yao ni ujuha Zanzibar wana autonomy kitu ambacho Wa Tanzania wengi hawakijui sababu ya elimu ndogo
Unapotosha we kima..Suala la mafuta na Kodi za ndani sio la muungano..Mafuta yao hayana matozo kama haya ya kwetuZenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Wakwentu akauchuna!!!Mh. Mwinyi alisema wamepunguza kodi nyingi kwenye mafuta ili wananchi wapate nafuu.
Alitoa maelezo wakati bei ya mafuta ilivyo panda.
Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania na co bunge la tanganyika??? Tanganyika tumeuzwa hatuna haki kwny muungano huu, serikali ya zanzibar ipo na inapanga mipango yake serikali ya Tanganyika haipoKwenu mafuta yako juu sababu ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lililotunga sheria inayowagonga kodi kubwa hivyo kufikia bei hizo mnazolalamikia
Wa kwenu watoke wap na akat hamna serikali[emoji23][emoji23][emoji23]Wakwentu akauchuna!!!
Suluhisho ni muungao uvunjwe ama tuwe na serikali tatu... watanganyika tumekua kama yatima kisa huu muungano wa kipuuziSijui kama unajua maana ya autonomy
Pili, SMZ ina subsidize bei ili kupunguza gharama. Gharama za subsidy zinatoka 4.5% ya pato la Tanganyika. Zanzibar haina gharama zingine kama za Jeshi , mambo ya ndani, nje, muungano n.k.
Tozo mnazolalamikia zingine zinalipa mikopo ambayo Zbar hawalipi, gharama za muungano n.k
Kwahiyo SMZ ina kila sababu ya kufidia bei kwa Raia wa Zanzibar
Hizo bei za Tanganyika zimo za Zanzibar ndani yake! mnaelewa machogo!
Ulishajiuliza ni kwanini wao hawana Tozo nyingi na serikali inaendeshwa vizuri tena kwa kima cha chini na nssf kubwa kuliko Bara ? Guess what huwezi kuelewa labda uwe kima kama mimi.Unapotosha we kima..Suala la mafuta na Kodi za ndani sio la muungano..Mafuta yao hayana matozo kama haya ya kwetu
Nani kasema kuna mjinga hapo?
Hata hii 2600 bado ni kubwa sana.Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa?
Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
View attachment 2212059View attachment 2212060View attachment 2212064
Kwani kuna mtu anawalaumu Zanzibar kwa kuuza mafuta bei ndogo kuliko bara?Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano Kodi na Mengineyo mengi usitegemee Zanzibar kufanana na bara sababu kuna mambo Rais wa Jamhuri ya muungano hana mamlaka nayo
Mfano JWTZ na Polisi wanatii amri ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania sasa ulitegemea wao kodi zao kugharamia JWTZ na Police wetu?
Kuwalaumu Zanzibar wakati wao wanatumia kodi zao kuendesha serikali yao ni ujuha Zanzibar wana autonomy kitu ambacho Wa Tanzania wengi hawakijui sababu ya elimu ndogo
Hata hii 2600 bado ni kubwa sana.