Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Zanzibar ni nchi yenyewe mambo yao wenyewe...
 
Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano...

kwa mambo yasiyo ya muuangamo, kwa upande wa Tanganyika , inakuaje yanasimamiwa/kuongozwa na Raisi asiye mtanganyika? au Tanganyika sio nchi kamiri?
 
Zanzibar wana Rais mwenye akili na anajua kuzitumia.

Kuwa kiongozi sio kutumia pesa nyingi kucheza movie na kuendeshwa kwa v8, maana halisi ya uongozi ni kuzitambua changamoto zinazokuja, na zilizopo, kuzishughulikia mapema kwa ajili ya unafuu ya wale waliokupa dhamana ya kuwaongoza...
Tanganyika haina Raisi. Aliyopo ni wa muungano.
 
UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
Kwa kipind hiki cha mpito alete na huku bara.
 
Zanzibar kuna kambi ya Jeshi inaitwa BAVUAI, JWTZ wanamiliki petrol station hapo; njia ya Kwerekwe - Airport, ndio wanaoongoza kwa bei ndogo ya mafuta huko visiwani.

Ushauri: Mleta mada nenda kapige picha uje uweke hapa ulalamike.
 
Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano Kodi na Mengineyo mengi usitegemee Zanzibar kufanana na bara sababu kuna mambo Rais wa Jamhuri ya muungano hana mamlaka nayo

Mfano JWTZ na Polisi wanatii amri ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania sasa ulitegemea wao kodi zao kugharamia JWTZ na Police wetu?

Kuwalaumu Zanzibar wakati wao wanatumia kodi zao kuendesha serikali yao ni ujuha Zanzibar wana autonomy kitu ambacho Wa Tanzania wengi hawakijui sababu ya elimu ndogo
Kwa hiyo unatuambia kuwa JWTZ na Polisi ni wa bara tu kwa hiyo Zanzibar hawachangii gharama zao? Halafu baada ya kusema hivi unawabeza wenzako kwa kukosa elimu!

Amandla...
 
Tanzania inawahudumia nini?

Bajeti ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haigharamiwi na TRA wao kama Zanzibar wa Mamlaka yao inayokusanya kodi Zanzibar na hiyo pesa ndio ndio inayotumiwa na SMZ/Zanzibar

Jeshi la wananchi JWTZ nje ya jeshi ni mtu mmoja tu anaetoa Amri nae ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania sasa ulitaka Jeshi la rais wa Jamhuri ya Tanzania ligharamiwe na serikali ya Mapinduzi Zanzibar? Hivyo hivyo kwa jeshi la Polisi
ila ajira mnataka asilimia 21
 
Zanzibar wanachukua Oman, Bara tunachukua Marekani...
 
Yanayoendelea nchini kwangu nayapokea kwa hisia sana mwana CCM mimi
 
Zanzibar wanachukua Oman, Bara tunachukua Marekani...

leo nimechoka J mikamba ana kwambia sababu ni ukrain ila hiyo ukrain atuchukui mafuta na ukimoji sana anakwambia yapo urusi na sisi atufungamani kuunga mkono upande wowote.
 
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
wamwiduka wanatuambia tunakula padogo tunaonga pakubwa 🤣 🤣
 
kwa mambo yasiyo ya muuangamo, kwa upande wa Tanganyika , inakuaje yanasimamiwa/kuongozwa na Raisi asiye mtanganyika? au Tanganyika sio nchi kamiri?
Hiyo ndo kasoro kubwa ilio tender katika huo muungano, wengi hawaioni ila ndo kero Nyerere hakuiona kabisa
 
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Eti danga...ila watu, dah..😂😂😂😂
 
Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Umeandika kwa ufupk lakin kama umejaza nyama vizuri tu
Mwenye akili ataelewa
Tanganyika tunanyonywa sana
 
Kama Bango linavyoonyesha huko Zanzibar bei ya mafuta ni tshs 2,600 while Bara ni tshs 3,200. Sasa hapa nashindwa kuelewa kama ni nchi moja kwanini Bara mafuta yawe bei juu zaidi ya Zanzibar?

Uteuzi wa January Makamba na Ridhiwani Kikwete kwenye nafasi walizo nazo,ulinipa mashaka makubwa juu ya usalama wetu wakianza kufanya Yao waliyokuwa wakifanya enzi za utawala wa Baba zao.

Mpaka Sasa wanatoa majibu mepesi sana juu ya suala la mafuta na gharama za maisha kupanda. Hawa mawaziri wanatakiwa waachie ngazi pamoja na waziri wa fedha na uchumi ndo chanzo Cha matatizo yanayowakumba wananchi. Leo hii Kuna wananchi na watoto wa shule wametembea zaidi ya kilometer 10 kwenda kutafuta riziki na hawajui wanarudi je majumbani hizo kilometer.
FB_IMG_1651751194507.jpg
FB_IMG_1651750436580.jpg
 
Kama Bango linavyoonyesha huko Zanzibar bei ya mafuta ni tshs 2,600 while Bara ni tshs 3,200. Sasa hapa nashindwa kuelewa kama ni nchi moja kwanini Bara mafuta yawe bei juu zaidi ya Zanzibar?

Uteuzi wa January Makamba na Ridhiwani Kikwete kwenye nafasi walizo nazo,ulinipa mashaka makubwa juu ya usalama wetu wakianza kufanya Yao waliyokuwa wakifanya enzi za utawala wa Baba zao.

Mpaka Sasa wanatoa majibu mepesi sana juu ya suala la mafuta na gharama za maisha kupanda. Hawa mawaziri wanatakiwa waachie ngazi pamoja na waziri wa fedha na uchumi ndo chanzo Cha matatizo yanayowakumba wananchi. Leo hii Kuna wananchi na watoto wa shule wametembea zaidi ya kilometer 10 kwenda kutafuta riziki na hawajui wanarudi je majumbani hizo kilometer. View attachment 2212696View attachment 2212697
Yuda iskariot wauza watanzania hawa
 
Wamiliki wa vituo vya mafuta, kama si waarabu, basi ni wa kutoka visiwani na muislam. Wanaouza mchele, mafuta ya kupikia, ngano na vyakula kwa ujumla na bidhaa mbalimbali, ni hao hao. Dada yao kwa makusudi, anasimama na kutangaza ongezeko la bei, hatsi pasipo na ulazima, na kwa kawaida ya mfumo hovyo wa hii nchi, akitamkacho rais, huwa. Anawafaidisha jamaa zake kwa makusudi bila ya kujali wananchi wengine na hali zao!
Well said
 
Back
Top Bottom