kamwene vanyalukolo
Member
- Sep 10, 2019
- 72
- 74
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha!! Tani 150 zote hizo za kazi gani mkuu, 1kg tu naitumia karibu mwezi mzima.
Oooooh iyo ndo sheeeeeeeda ya nyie muishio town, kg1 mwez mzma iyo chai wanywa ¼ kikombe nnHahahaha!! Tani 150 zote hizo za kazi gani mkuu, 1kg tu naitumia karibu mwezi mzima.
Unatakiwa upate familia kubwa na wageni kg uitumie week1.Hahahaha!! Tani 150 zote hizo za kazi gani mkuu, 1kg tu naitumia karibu mwezi mzima.
wafanyakazi zamu zimekwisha tangu mwaka 2015
Sio mpenzi wa chai, na mara nyingi huwa nakutana nayo weekend.Oooooh iyo ndo sheeeeeeeda ya nyie muishio town, kg1 mwez mzma iyo chai wanywa ¼ kikombe nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa usawa huu hapana, acha huu upepo wa vyuma upite😅Unatakiwa upate familia kubwa na wageni kg uitumie week1.
Duuh sawa bhn.Kwa usawa huu hapana, acha huu upepo wa vyuma upite[emoji28]
Kwakweli ataje tuUngetaja bei ya hivyo vitu ni mkoa gani? Maana Dar unga 1,700 na sukari 2,500
Glad to know my dear
Hahaha!Duuh sawa bhn.