Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

kilombero sugar msimu wa 2019/2020 hawajapata miwa mingi kutoka kwa wakulima binafsi kutokana na mvua kuzidi na kusababisha mashamba mengi kujaa maj..huenda sukari ikapanda bei zaidi mwaka huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
toplemon,
Hii mbona haijapanda? Mkuu Magufuli aliikuta ikiwa 5,000/= kaishusha hadi 2,000/= kama imeoanda hadi 3,200/= siyo tatizo kulinganisha na alikoikuta bei. Vumilieni tu maana njaa haina chama
 
Hongera raisi John Joseph magufuli chini ya chama chetu pendwa CCM hakika hivi ndivyo tulivokua tunataka wanyonge lazima nchi inyooke tulikuwa tumeshazoea vya bwerere na asie fanya kazi afe apotee kabisa Kama wapiga majungu
Magufuli hoyeeeeee
Ccm safiiiiiiiiii
 
Hii mbona haijapanda? Mkuu Magufuli aliikuta ikiwa 5,000/= kaishusha hadi 2,000/= kama imeoanda hadi 3,200/= siyo tatizo kulinganisha na alikoikuta bei. Vumilieni tu maana njaa haina chama
5k ?
Nchi gani?
 
Habari ya mapumziko wadau,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ndani ya siku tatu nimeshuhudia bei ya sukari ikipanda kati ya shilingi za kitanzania 2,800-3,500 kwa kilo moja.

Kwa hali hii tutegemee nini hapo mbeleni hususan kwa bidhaa zingine muhimu (consumable goods)?. Hali ya bei ya bidhaa muhimu ikoje huko uliko.

Nawatakia Pasaka Njema.
 
Back
Top Bottom