Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

toplemon,
Hapo bado hatujaanza kupigwa na economic sunctions na mataifa makubwa wakiongozwa na marekani.

Rafiki yetu China ndio hivyo anahangaika na Con Viro naye anaomba msaada toka nje.
Subiri hali itakayokuwa baada ya uchaguzi. Tutakimbiana nchini hapa.

Kidumu Chama cha Mapinduzi hehehe
 
aiiisee we bwana usitutishe sukar imepanda kwenu wee unaishi machimbo unataka ulingane bei na sisi wa city acha zako havijapanda kiivyo
 
JPM: "Hata mimi mshahara haunitoshi!"
Lina ukweli hili? mbona yupo front sana kuchangia mamilioni na kuwahamasisha wengine nao wachangie, mimi ukinishtukiza hapa mchango wa buku tu naweza kuzimia kabisa kutokana na hali kutokuwa hali.
 
Lina ukweli hili? mbona yupo front sana kuchangia mamilioni na kuwahamasisha wengine nao wachangie, mimi ukinishtukiza hapa mchango wa buku tu naweza kuzimia kabisa kutokana na hali kutokuwa hali.
Kwani hela zake zile? Yeye anachota za Ikulu na kuzifanya zake!
 
Kwahiyo hilo bichwa lako linashindwa kung'amua ni kwa namna gani viwanda vya ndani vinalindwa kwa kuzuia bidhaa toka nje? Seriously? aisee...
 
Back
Top Bottom