Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

mkuu samahani kama hutojali,hiyo bei imepanda wapi?
Miye nipo Meatu bado sijaliona hilo huku bei ya kilo moja ni 2800 kwa bei ya leo
 
tamsana,
Kama tunaagiza sukari(naamini kiasi fulani tunaagiza) sasa hivi na janga hili la corona lazima kuwe na uhaba maanake production sehemu nyingi imesimama. Kukiwa na uhaba bei lazima ipande.
 
Post Corona Dunia haitabaki kama ilivyo.Kila kitu kinaenda kubadilika...hata huko peponi pamebadilika kuna jam kubwa, maelfu na maelfu ya wageni kila siku.
 
It's just the beginning, vitu vingi vitapanda bei, hasa baada ya hili janga kupita. Nchi zenye uchumi mkubwa zita-inject pesa kwenye makampuni na mashirika yake ya umma ili kunusuru hali ya mfumuko wa bei, kwa nchi ndogo hizi tusitegemee hali kuwa hivyo, ni hadi mambo yatengemae yenyewe.
 
Dukani kwa mangi ni 3000 Tshs kwa kilo. Hiyo ni latest kuanzia jana jioni na leo asb
 
Jana nimenunua kwa 3,200 kwa kilo moja jamani serikalii iingilie kati mbona sukari imepanda ghafla hivyo..
 
Back
Top Bottom