Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Chuga mitaa ya njiro 2700 per KG.
halafu kuna mbwiga wanataka lokudauni WTF!!!?😞
 
Hii mbona sio baalaa chochote, kuna mtu alipoingia alikuta sukari kilo ni TZS 5,000 na watu hatujalalamika, hiyo 3,600 tuu wawe unalalamika, ingekuwa 5,000 jee?, si ungepiga mayowe?.
P
Kaka Pascal Mimi sisemi. Usije kukalia kile kipindi chako Cha wakati ulee...kule CHANNEL TEN.

Kaka Pascal unazijua tabia za Walimu wa Chemistry na Mathematics?
 
Hii mbona sio baalaa chochote, kuna mtu alipoingia alikuta sukari kilo ni TZS 5,000 na watu hatujalalamika, hiyo 3,600 tuu wawe unalalamika, ingekuwa 5,000 jee?, si ungepiga mayowe?.
P
Duh...!.

Pasco bana...!.

Acha hizo...........
 
Habari yenu wandugu..

Kumekuwa na shida ya upatikanaji wa sukari na kupelekea mfumuko mkubwa wa bei. Adi Sasa sijasikia serikali kuelezea hali hii uku wananchi tukipata shida.

Uku kwetu vijijini sukari imeadimika kabsa na ikipatikana Bei yake ni,
kg 1= 3,200 adi 4,000 kutoka 2,800

Zile ndogo za packet sh 600 adi 700 kutoka sh 500.

Je,mtaani kwenu kg 1 ya sukari sh ngap?
 
Back
Top Bottom