Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

toplemon, Wananchi wengi wanaumizwa na serikali kwa sababu ya kuwatetea wachache walioajiriwa. Nakumbuka sukari kutoka nje (Brazil na Vietnam) ilipokuwa inauzwa shilingi 800. Ilipopigwa marufuku bei ikapaa hadi shilingi 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeagiza sukari sehemu moja inaitwa makocho, mbele ya wami kama kg 20 hivi

Huko sukari haizidigi buku kwa kg1?!
Msiniulize kwanini

Ova

Sent using jamii forums mobile app
 
Habari ndugu zangu

Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja

Khaa... leo nimeenda Dukani nimekuta Sukari Kilo 1 ni 3,600/=

Sitaki maneno mengi.

Hebu tupeane UPDATE ya Bei ya SUKARI hapo ulipo.


Chukua tahadhari CORONA Inaua.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungoje wanunuaji wakuje.

Wengine hata Nyanya hatujui bei yake
 
130000 kwa mfuko wa kilo 50...hiyo ni bei ya jumla
 
Unajua tuseme ukweli Magufuli bhana unakera sana, eti viwanda vinafungwa kufanyiwa mantainance sasa fikiria TPC, MANYARA, KAGERA SUGAR, MTIBWA SUGAR na vingine iweje vifungwe mara moja.

Na kama kuna haja ya kufunga viwanda kila mwaka kwanini hakuna mkakati wa kusustain demand mapema kwa kuingiza sukari mapema..? Magufuli bhana anaongoza nchi kimagumashi sana kuna vitu vinatokea mpaka mtu unabaki mdomo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanaitaka lockdown
Tutulie dhima ya Dr. Magu ni nzuri
Tuendelee kuomba
 
Back
Top Bottom