Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

Ukitoka nyumbani utoke umeshiba na ubebe chakula chako hasa bites,tabia ya kula ovyo njiani tena safari ya masaa pungufu ya kumi ni ushamba
Sizungumzii kula ovyo njiani...

Motels zimewekwa ili wasafiri wale...sijui umeelewa?

Safari ya kwenda Kahama au Mwanza au Bukoba, utoke umeshiba...

Na sishauri mtu atoke ameshiba akiwa anajua ana safari...UTAKUJA SUMBUA WATU HUKO SAFARINI...KUTAPIKA WEWE...KUHARISHA WEWE...
 
Sasa eti dar to iringa unafika ruaha mbuyuni unaagiza chipsi pale aljazeera una akili wewe,vumilia utakula ukifika,wengine safari ya dar moro njiani atakula mayai,mahindi,soda,chipsi,karanga,mishikaki ,masaa manne kweli???be seriaz
 
Umeleta mada ya maana sana, kweli ni waghali sana na kuhusu kodi sidhani kama wanalipa

Serikali iwamulike

Paw kama inawezekana naomba muiweke hii mada kwenye Top view na iwe Independent, hili suala linapaswa kujadiliwa na kuchukuliwa umakini
 
Umeleta mada ya maana sana, kweli ni waghali sana na kuhusu kodi sidhani kama wanalipa

Serikali iwamulike
Pale wanalipa kodi za kawaida tu, ila kwakuwa hawana risiti ya efd...KODI HAWALIPI NA BEI YA CHAKULA SIO ELEKEZI...
 
Jifunze kula vyakula ambavyo unajua hata kama vikilala hakuna tatizo. Mimi kwenye hizo motels nitanunua

1. Chai ya rangi (sio maziwa)
2. Matunda (sana sana apple naosha mwenyewe nakula)
3. Soft drinks (soda)
4. Red bull
5. Biscuits

Ukiona wewe kusafiri mpaka ule chipsi na mishkaki aisee utakuwa una ulafi mkubwa sana.
 
MARA YA MWISHO KUNUNUA CHAKULA NA VINYWAJI KWENYE IZO MOTELS NI 2016.

UWA NAKULA HOME KABLA AU NIKIGIKA. NIKIHITAHI SODA NA MAJI NANUNUA WALE WANAOPITISHA DIRISHANI. BEI ZAO REASONABLE.
 
Jifunze kula vyakula ambavyo unajua hata kama vikilala hakuna tatizo. Mimi kwenye hizo motels nitanunua

1. Chai ya rangi (sio maziwa)
2. Matunda (sana sana apple naosha mwenyewe nakula)
3. Soft drinks (soda)
4. Red bull
5. Biscuits

Ukiona wewe kusafiri mpaka ule chipsi na mishkaki aisee utakuwa una ulafi mkubwa sana.
Mambo ya kula-kula hovyo njiani!!!
 
Jifunze kula vyakula ambavyo unajua hata kama vikilala hakuna tatizo. Mimi kwenye hizo motels nitanunua

1. Chai ya rangi (sio maziwa)
2. Matunda (sana sana apple naosha mwenyewe nakula)
3. Soft drinks (soda)
4. Red bull
5. Biscuits

Ukiona wewe kusafiri mpaka ule chipsi na mishkaki aisee utakuwa una ulafi mkubwa sana.
Hizo biscuts tu angalia vizur expire date uone muda wake.
Kuna siku naenda mbeya sipendi kula barabaran kuto haribu hali ya tumbo, " nipe biscut kuangalia expire date imepitiliza muda wake na ipo dukan, nyingine tena hivyo hivyo! Mpaka muuza akasema haipo yakwako"
ANGALIZO: tupende sana kuangalia expire date kwenye hizi bidhaa ndogondogo kama juice, soda,biscut na hivyo vingine n shida tu ukiwa na njaa pia haraka
 
Changamoto sana..Naamini wahusika wameyasikia watayafanyia kazi haraka iwezekanavyo...

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom