Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soko huliaa, dawa hapo si kununua chakula chao jiandae tangu mwanzo wa safari kama walivyokuwa wakifanya wazee wetu miaka ya nyuma.Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo.
Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya...
Makampuni ya mabasi angalieni bei zenu za vyakula kwa wasafiri, au ikiwezekana wekeni vituo vya chakula sehemu za center ili watu wawe na uchaguzi wanakula nini kulingana na bajeti zao. Mtu unakuta eti andazi la 500 unauziwa 2000, soda ya 500 unauziwa 1000, chips ya juzi imekakamaa eti 3500, na vingine vingi. Yani kila kitu bei umiza. Mjitathmini.
pointBeba chakula chako nyumbani
Kinaweza kuisha kabla safari haijaanzaBeba chakula chako nyumbani
Na vipi hatokei nyumbani?Beba chakula chako nyumbani
[emoji23][emoji23] Hili nalo nenoKinaweza kuisha kabla safari haijaanza
Kinaweza kuisha kabla safari haijaanza
Nakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha watu na appetite zetu[emoji28][emoji28][emoji28]
HahahaMie sili chips safarini, nilishawahi kupatwa na masahibu. Nilitoka Moshi kwenda Dar, tulivyofika Mombo tukaingia kula hoteli inaitwa Liverpool, nikala viwepe na mishikaki. Uwiiiiii yaani hata hatujafika mbali, tumbo likaanza kuuma, mharo unataka kuchomoza.
Nikawaza, nikimwambia konda nataka "kuchimba dawa" atasema hilo zoezi ilikuwa lifanyike hotelini tulipokula. Basi bwana akili ikaja ya ziada, nikamwendea konda, nikamdanganya kuwa NIMEANZA KU BLEED GHAFLA hivyo wasimamishe gari nikajisetiri, hahahaha, konda kusikia hivyo akamwambia dreva, gari ikasimama nikaenda kwenye hoteli mshenzi mshenzi, nikahariiiiiiishaaaaaa mpaka basi!
[emoji23][emoji23]pole. Ila ni mabasi gani hayo siku hizi yanakula liverpoolMie sili chips safarini, nilishawahi kupatwa na masahibu. Nilitoka Moshi kwenda Dar, tulivyofika Mombo tukaingia kula hoteli inaitwa Liverpool, nikala viwepe na mishikaki. Uwiiiiii yaani hata hatujafika mbali, tumbo likaanza kuuma, mharo unataka kuchomoza.
Nikawaza, nikimwambia konda nataka "kuchimba dawa" atasema hilo zoezi ilikuwa lifanyike hotelini tulipokula. Basi bwana akili ikaja ya ziada, nikamwendea konda, nikamdanganya kuwa NIMEANZA KU BLEED GHAFLA hivyo wasimamishe gari nikajisetiri, hahahaha, konda kusikia hivyo akamwambia dreva, gari ikasimama nikaenda kwenye hoteli mshenzi mshenzi, nikahariiiiiiishaaaaaa mpaka basi!