Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Wenye serikali nadhani ndio wamiliki wa hizo migahawaLogic yakuuza bei juu ni nini? Hapo ndio pamsingi.. Haiwezekani chakula chao kikawa bei Mara mbili Au tatu ukilinganisha na maeneo ya mijini.. Wanatumia advantage ya bus kusimama Hapo Tu wanajua huwezi pata chakula sehemu nyingine Yeyote lazima ule Hapo... Hii si Sawa. Serikali iingilie Kati hili suala kuweka hata bei elekezi ya vyakula njiani...